Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 75
Kwa nini wapenzi wanasaidiana kuvua nguo kabla ya tendo lakini baada ya tendo hawasaidiani kuvaa?
baada ya tendo mission complete huna cha kupotezaKwa nini wapenzi wanasaidiana kuvua nguo kabla ya tendo lakini baada ya tendo hawasaidiani kuvaa?
Before Sex.. you help each other to get naked…
After Sex.. you only dress yourself…
The Moral of the story: in life… no one helps you once you've been f.u.c.k.e.d..!
Teh teh teh! Ukihitaji next time unafanya hivyo hivyo?baada ya tendo mission complete huna cha kupoteza
Baada ya tendo wanasaidiana kutafuta vyupi vyao
baada ya tendo mission complete huna cha kupoteza
Kwa nini wapenzi wanasaidiana kuvua nguo kabla ya tendo lakini baada ya tendo hawasaidiani kuvaa?
inauma ungetafuta lugha ya kulainisha manake hiyo hapo umetupa black and white na unajua always watu hatutaki ukweli.Before Sex.. you help each other to get naked
After Sex.. you only dress yourself
The Moral of the story: in life no one helps you once youve been f.u.c.k.e.d..!
Muda wa kupotezeana tena haupo kila mtu anawaza home tu kwa hapo so kila mtu ajitegemea. Ha ha ha ha umenichekesha kweli mpendwa
Kwa nini wapenzi wanasaidiana kuvua nguo kabla ya tendo lakini baada ya tendo hawasaidiani kuvaa?
Inabidi msaidiane bwana mpka kuogeshana. Sometimes mkiogeshana utakuta ngoma inaanza kudai tena!mkimaliza process inakuwa ndefu kabla ya kuvaa, kuna kuoga....... inabidi kila mtu ajitegemee
Inategemea condom gani. Kama ya kike wa kiume awajibike na kama ya kiume wa kike awajibike.siku nyingine uje na thread inayosema,
NANI WA KUMVALISHA CONDOM MWENZAKE KABLA YA KU - DO?