Kwa nini kusiwe na kura ya maoni ka sudani kuwe na utawala wa majimbo?

mzambia

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
885
60
Wana jf nimekuwa nikifikiria sana kama kuna uwezekano tanzania kuwe na utawala wa majimbo kama sera ya chadema ilivyokuwa inanadi

labda maendeleo tutayaona kwa mfano:

Iringa, njoruma, mbeya, rukwa na ruvuma wanakuwa na gavana wao

morogoro,dodoma singida, pia nk

nawasilisha
 
Na kama hii ikiwezekana basi baada ya miaka kumi maendeleo yatakuwa makubwa sana ukilinganisha na hivi sasa
 
Yaani mnafikiria haya mawazo wakati ccm wakiwa watawala au chadema?......maana ccm iliishashindikana ni mtoto mtukutu...ni kichwa ngumu...is more thanb very rigid
 
Back
Top Bottom