kwa nini kiss iko hivi?

Mani H

Senior Member
Mar 25, 2011
180
46
I hope ni wazima wanajf,katika pitapita zangu nimegudua kitu kuhusu kiss, mara nyingi mkiwa mnapiga kiss na mpenzi wako hasa kiss ya face 2 face mmoja au wote lazima mfumbe macho, ni kwanini hutokea hivi? Tena wakati mwingaine hata kiss za mashavuni bado macho yanafumbwa. Mwenye ufahamu na hili jambo naomba majibu.
 
How old are you?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
I hope ni wazima wanajf,katika pitapita zangu nimegudua kitu kuhusu kiss, mara nyingi mkiwa mnapiga kiss na mpenzi wako hasa kiss ya face 2 face mmoja au wote lazima mfumbe macho, ni kwanini hutokea hivi? Tena wakati mwingaine hata kiss za mashavuni bado macho yanafumbwa. Mwenye ufahamu na hili jambo naomba majibu.
Ticha mmoja alishawahi remark kwamba the best en happiest moments in life are xperinced within a short nick of time ndo mana watu wanafunga macho..daaah..kwa kweli mim hua nafungua macho kumuangalia..its a sign tht simkubali kivile..
 
I hope ni wazima wanajf,katika pitapita zangu nimegudua kitu kuhusu kiss, mara nyingi mkiwa mnapiga kiss na mpenzi wako hasa kiss ya face 2 face mmoja au wote lazima mfumbe macho, ni kwanini hutokea hivi?

Mh! mkuu kwakweli sijuwi.
 
Embu siku moja jaribu na mpenzi wako kwa makusudi mpigane kiss huku kila mmoja amekodoa macho (ukishafanya hivyo kila mtu aeleze hisia zake kama amefurahi au la). Sio kiss tu hata kumshikashika tu lazima kila mtu awe na uso na macho yaliyolegea kukolezea utamu na mara nyingi kama mtu aku-feel utaona macho makavu kama anatunga uzi kwenye sindano ndogo
 
We hujui kama "Love is blind"? sasa unataka uone nini wakati wa kiss?
 
Back
Top Bottom