Kwa nini KIMEI wa CRDB anataka awe GAVANA wa Benki Kuu? ANAFAA au HAFAI?

Kuoa Kilimanjaro si tatizo atafuata precedence ya DR.Salmin amour nae alioa Kilimanjaro ila yalimkuta sote tunayajua na hadi sasa anatibiwa moyo China.

ni kumtahadharisha tu Omar kuwa as soon as anamaliza ugavana na bibi atadai talaka.
 
Joka kuu.
Haifai tuwachukie ndugu zetu bila sababu, una chuki na wachagga kama enzi zile za makaburu. au ni wewe uliyetutia sumu kuwa Iddi Amin NI Joka. amemla mkewe Sarah huku bibie ametulia Forest gate -London na anasema ulikuwa uzandiki tu. waganda wote wanampenda Amini. na wanasema hakuna kiongozi kama makini kama amini ali empower wazalendo wengi tu.
 
jembajemba,
sina uhakika bali "ninahisi" kuna uwezekano ana mahusiano ya namna fulani na "wakilimanjaro." labda wewe ni mgeni hapa jamboforums, lakini standard zetu hapa ni kwamba "ukihisiwa" kuwa na mahusiano ya namna yoyote ile na "wakilimanjaro" unapaswa kuogopwa kama ukoma,RVF,au ebola.

jambo hili tulilipigia kelele sana, sasa wengine tumeamua kuunga mkono uzandiki

jokakuu,

Hilo ni kosa kubwa kupelekwa na hisia, mara nyengine hisia zinakuwa za uongo.. nakushauri ufanye research ili upate kitu kilichokuwa sahihi baada ya kufuata hisia zako. Dont judge a book by its cover....

Wacha kuchukia watanzania wenzako kiasi hicho, wachaga ni raia halali wa nchi hii, huo unaoufanya ni ujinga usiokuwa na maana.

Nakuomba ujirekebishe
 
OMAR SHEHA ana sifa kielimu kumshinda juma reli? angalia short cv ya reli.....

ELIMU YA MSINGI:KIDONGO CHEKUNDU[1963 TO 1967],JAN"GOMBE [1968]
SEKONDARI: HAILE SELASIE [1969]
LUMUMBA[UP TO 1973] HIGH SCHOOL
IDLE: [JUST HOME] 1974 TO 1980
CHUO CHA USHIRIKA MOSHI : CERTFICATE OF ACCOUTANCY[1981 - 1984]
BIRMINGHAM :pOST GRADUATE DIPLOMA[ACCOUNTS/FINANCE] 1993
BIRMINGHAM :MASTERS IN BUSINESS ADMINISTRATION[FINANCE]1994-1995
2005-DEPUTY CENTRAL BANK OF TANZANIA GORVERNOR

Si mmeona shule hiyo? sasa huyo sheha anazidi hapo? hembu mwageni cv basi afteral kwa upande wa watanganyika kana ukitaka governor kwa sifa za aina hii kwa pale BOT hata staff wa kawaida majority wana MBA na degree nzuri tu za kwanza..
 
Omar sheha mkewe ni mmoja tu na ni mtu wa mkwajuni, joka kuu wacha uzushi

wakati mwingine hupendi kupotosha ukweli! ndo nnachokupendea!....ila ungekuwa unapika chakula...mara kadhaa kisingelika....unatia chumvi mno!

huyu jokakuu ye kazi yake kuhisi sio?.....hivyo mkewe akihisiwa si mwaminifu ye atampa talaka gani?rejea?

ajabu kweli kweli!
 
mtumwitu,
gavana wa benki kuu anapaswa kuwa mtu safi. "kuhisiwa" kuwa na mahusiano na "wakilimanjaro" ni disqualification. nadhani umenielewa. NEXT!!

achilia mbali huo u-kilimanjaro....mtu msafi ukimwona utamjua we?

na hivyo mchezo wako wa kuhisi....nadhani utamhisi mchafu!
 
Kuoa Kilimanjaro si tatizo atafuata precedence ya DR.Salmin amour nae alioa Kilimanjaro ila yalimkuta sote tunayajua na hadi sasa anatibiwa moyo China.

ni kumtahadharisha tu Omar kuwa as soon as anamaliza ugavana na bibi atadai talaka.

ya dr. na mkewe salma vile eeh!?[hata alefuatia] unayajua we?

ni mambo ya ndani ati!.....tumwache dr. wa watu!
 
JJ/mtu mwitu.....

mada imefikia patamu kweli,omer sheha kuwa na mke wa kilimanjaro sio ajabu umesahau wabunge wa CUF walivyokuwa na wake wa kisomali wakawatorosha kwenda ujerumani kama wakimbizi? ilhali kule kwao macho4/KOJANI tayari wana familia zao,hiyo ni kawaida ndugu yangu as long muislam tunaruhusiwa mpaka wake 4,so OS anawezekana na mke wa kwao kaskazini lkn akawa na mwengine kilimanjaro etc makubaliano tu.......KATA MTI PANDA MITI.kwa nini JUMA RELI asiendelee kuwa gavana?as long anawajibika na kwani si anakuwa na wasaidizi. hebu niwaulize nafasi ya UGAVANA ni ya kisiasa au inategemea na usomi/utendaji wako wa kazi?


PM...thanx kwa CV ya OS.

mswahili.......

usiwe na chuki na wapemba ndugu yangu,wale jamaa wanajituma ile mbaya,hizo nyumba za ilala unazodai wamenunua kwa jasho lao,komando salmin amour hana tatizo kama unavyofikiria ww ndugu,salmin yupo china kwa matibabu ya macho,so haihusiani kabisa na issue ya ex-wife wake.

masatu.... zamu yetu znz kutoa gavana,nyie kila ikifika zamu yetu ktk issue za MUUNGANO mnatoa kila aina ya sababu,mara ohhh SAS hizbu hafai kuwa rais etc.
 
Nafasi ya gavana sio ya kisiasa, hivi jamani Balali aliwahi kufanya kazi BOT ?
 
eng mohamed huku bara wengi walimtaka SAS na hata zile kura 800 alizopata tulimpa sisi wa tabora,kigoma,rukwa na wengine ,waliomuangusha ni wazazibar wakasema SAS akipita wanarudisha kadi za ccm,kisa hizbu sijui ndio hizboolah au....kama watu wa zanzibar wangalimpigia kura SAS huenda wange tie NA jk na kura zingeenda duru la pili na sijui ingekuwaje....jk na simba mtoto walimjengea sas jungu....hii nafasi ya zanzibar kutoa rais [mpemba ] mwaka huu mmeipoteza wenyewe na asilani haitarudi tena maana huku bado hatujaona sura ya ugavana huko na kama unavyojua hakuna cha zamu wala nini ..TUNATAKA VYETI[SIFA]..HAPENDWI MTU!!!!
 
Icadon wrote:Nafasi ya gavana sio ya kisiasa, hivi jamani Balali aliwahi kufanya kazi BOT ?

Gavana wa BOT huteuliwa na Raisi, lakini kutokana na uzito wake wa nafasi hiyo, Raisi hulazimika kuteua mtaalamu wa masuala ya fedha,uchumi, mipango, na biashara.

Daudi Balali aliwahi kufanya kazi BOT kabla hajahamia IMF au WB ambako alifanya kazi kwa muda mrefu sana. Kabla hajawa Gavana Mkapa alimuomba Balali toka kwa mwajiri wake aje kuwa mshauri wake wa Uchumi.

Moja kati ya appointments za Mkapa zilizo-leak ni hii ya Daudi Balali kuwa gavana BOT. Tangu aliporudi Tanzania kila mtu alikuwa anajua kwamba Dr.Rashidi's days were numbered, and Balali ndiyo designate Governor wa BOT.

Phillemon Mikael,
Zanzibar kwa kweli kuzuri sana. Yaani ukipiga shule yako na kuchukua masters una guarantee ya kupata Presidential Appointment. Watoto wadogo kabisa wana madaraka makubwa makubwa ktk serikali ya ZNZ.

Huku Tanzania Bara naambiwa mpaka ugonge PhD ndiyo unakuwa guaranteed kuruka ngazi na kupata uteuzi wa Raisi. No wonder watu sasa hivi wamepagawa na hizi PhD za kutungua.
 
Icadon,
a little more about Daudi Balali the Govenor of BOT. Hapa utaona kwamba tunahitaji mtu mzito, who will bring respect and credibility to the office of the gov of BOT. Kwa maoni yangu, both Dr.Charles Kimei, na Dr.Ramadhani Dau, HAWAFAI.

The Bank of Tanzania's unassuming and diminutive governor is 64-year old Mr. Daudi Balali. Having worked for the IMF in Washington for 21 years and headed missions to Kenya, Ghana, Lesotho, Somalia, Swaziland, Ethiopia, Sierra Leone, and South Africa, Governor Balali was handpicked
for the job in 1998 by former President Benjamin Mkapa. Mkapa had watched the younger Balali achieve significant results in both Ghana and Ethiopia. The post represented a return to the BOT for Governor Balali, who had previously held the position of Director of Research at the Bank of Tanzania before he joined the IMF. However, whilst the Governor's experience on the continent has proved an invaluable resource for the Tanzanian government,
it was his connections with the IMF and World Bank which tipped the scales in Tanzania's favor. Tanzania has not only shed the basket case image it was burdened with in the 1990's – it is now regarded as one of the best managed economies on the continent, and has excellent relations with the development partners, largely because of the relationships
which the Governor has been leveraging during his tenure. The Governor's family has remained in Washington, a city to which he is a frequent visitor. All this is a very far cry from Mr. Balali's humble beginnings. The Governor was one of the first Tanzanians to win a scholarship to study in the United States, where he studied at Harvard, after making his first trip by boat across the Atlantic Ocean.
 
Icadon,
a little more about Daudi Balali the Govenor of BOT. Hapa utaona kwamba tunahitaji mtu mzito, who will bring respect and credibility to the office of the gov of BOT. Kwa maoni yangu, both Dr.Charles Kimei, na Dr.Ramadhani Dau, HAWAFAI.
Mpaka sasa CV za hawa watu wawili hakuna aliyeweza kuzipata.Kila mmoja kwenye Taasisi yako anayoiongoza hivi sasa kuna mafanikio kwa ujumla,Sasa ni kipi tunachofanya uone Hawafai?
Umetumia vigezo gani kuhitimisha kwamba wote wawili hawafai?
 
KNKCU,
tunahitaji Mtanzania mwenye STRONG TRACK RECORD ya kutafiti,kushauri, na kusimamia program za kufufua uchumi, pamoja na usimamizi na ukaguzi wa vyombo na taasisi za fedha.

Dr.Kimei alikuwa BOT, lakini kwa muda mrefu ameondoka pale. tangu aondoke BOT amekuwa CRDB kama DG. sasa kuongoza benki ya kawaida, ni tofauti kabisa na kuongoza Central Bank.

Dr.Dau taarifa za uzoefu wake wa kazi ni kwamba alikuwa mkufunzi udsm, moja ya masomo aliyofundisha ni business ethics. pia alifanya kazi mamlaka ya bandari kama mkurugenzi wa masoko. mwisho yuko hapo nssf.
 
KNKCU,
tunahitaji Mtanzania mwenye STRONG TRACK RECORD ya kutafiti,kushauri, na kusimamia program za kufufua uchumi, pamoja na usimamizi na ukaguzi wa vyombo na taasisi za fedha.

Dr.Kimei alikuwa BOT, lakini kwa muda mrefu ameondoka pale. tangu aondoke BOT amekuwa CRDB kama DG. sasa kuongoza benki ya kawaida, ni tofauti kabisa na kuongoza Central Bank.

Dr.Dau taarifa za uzoefu wake wa kazi ni kwamba alikuwa mkufunzi udsm, moja ya masomo aliyofundisha ni business ethics. pia alifanya kazi mamlaka ya bandari kama mkurugenzi wa masoko. mwisho yuko hapo nssf.
Kama wanauzoefu kwenye utawala na kwenye vyombo vinavyohusiana na fedha,Nina hakika hata kwenye hizo Taasisi wanazoziongoza Tafiti,Ushauri,Usimamizi na ukaguzi wa vyombo vinavyohusiana na fedha hasa kwa wale wakopaji wao wakupwa nk Vinafanyika?Je ni kipi kitawafanya washindwe kuvifanya hivyo wakiwa BOT?
 
KNKCU,
katika maelezo yako umeacha kitu muhimu nacho ni PROGRAMU ZA KUFUFUA UCHUMI. Central Banker ni tofauti kabisa na Investment or Comercial Banker, or even Fund Managers.

Naheshimu utendaji wao huko CRDB na NSSF, lakini nadhani watapwaya kama watakabidhiwa kamandi ya mageuzi na kufufua uchumi tanzania -- BOT.
 
Back
Top Bottom