Mswahili Old Acc
JF-Expert Member
- Sep 27, 2006
- 488
- 22
Nashukuru kwa salamu zako. kabla sijaenda mbali naomba kuuliza zile kandambili ulizopanda nazo helikopta ulinunua wapi?we mswahili wewe! usikimbie bwana. Unaweza kunitumia jibu hata kwenye PM basi kama unashindwa kujibu hadharani. Na ule ushahidi wako wa mhe. Zitto nausubiri. tetetete!
Asante.
Habari za Zitto nimeweka kwenye wanene na marupurupu nenda kule kama unanisubiri kwa hamu. PM siwezi kukutumia bora ungeweka kibatari.