Kwa nini Chadema imefulia - Siku hizi

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Kila nikikaa na kuangalia naona yale makeke ya Chama kinachojiona ni cha pili kwa Upinzani hapa Tz (CHADEMA) yamefulia na kupooza.

Baada ya kupigwa mkwala wa hali ya juu na Serikali kule Arusha na baadhi ya viongozi wao kubamizwa kwenye kona kwa kupelekwa kortini kujibu tuhuma za kuwalazimisha watu au kuwashawishi watu kufanya maandamano yaliyopigwa marufuku na jeshi la polisi ,maandamano ambayo yalikuwa na agenda za siri ambazo zilidakwa na wajeshi hao wa usalama wa raia na mali za wananchi.

Hadi hii leo baada ya Chadema kuona hali imewakalia vibaya kwa upande wa washtakiwa wao sasa wamekuja chini na kufulia kabisa ,yaani huwezi kuamini kuwa WaTz wengi nikiwemo mimi tulikuwa tumeanza kujenga matumaini ya mkombozi mpya yaani kwa lugha za kisasa tunaweza kusema mkombozi mbadala ,matumaini kwa wazalendo yamefifia na kuzama kabisa baada ya kuona kile Chama wanachokitegemea kwa ukakamavu wawapo majukwaani ni magoigoi na kitisho kilichotolewa na serikali kusambaratisha maandamano yao kimewafanya wasinyae kabisa na kuwa cool.
 
Ulitaka wafanyeji...uchaguzi 2015 wameanza kuelewa

hata nyinyi CUF tutawsughulikia mkianza kuleta fujo..
 
mwiba.... sikunyingi hujafungua mashine yako ya kukoboa mahindi...karibu sana na pumba zako...
 
Kila nikikaa na kuangalia naona yale makeke ya Chama kinachojiona ni cha pili kwa Upinzani hapa Tz (CHADEMA) yamefulia na kupooza.

Baada ya kupigwa mkwala wa hali ya juu na Serikali kule Arusha na baadhi ya viongozi wao kubamizwa kwenye kona kwa kupelekwa kortini kujibu tuhuma za kuwalazimisha watu au kuwashawishi watu kufanya maandamano yaliyopigwa marufuku na jeshi la polisi ,maandamano ambayo yalikuwa na agenda za siri ambazo zilidakwa na wajeshi hao wa usalama wa raia na mali za wananchi.

Hadi hii leo baada ya Chadema kuona hali imewakalia vibaya kwa upande wa washtakiwa wao sasa wamekuja chini na kufulia kabisa ,yaani huwezi kuamini kuwa WaTz wengi nikiwemo mimi tulikuwa tumeanza kujenga matumaini ya mkombozi mpya yaani kwa lugha za kisasa tunaweza kusema mkombozi mbadala ,matumaini kwa wazalendo yamefifia na kuzama kabisa baada ya kuona kile Chama wanachokitegemea kwa ukakamavu wawapo majukwaani ni magoigoi na kitisho kilichotolewa na serikali kusambaratisha maandamano yao kimewafanya wasinyae kabisa na kuwa cool.

Umerudia tena kuandika madudu yako. Miye hata sikuelewi kabisa. Mara uisifie CHADEMA mara imefulia ali mradi tu hueleweki. Inabidi uende kule mirembe wakakuangalie vizuri kabla hali haijawa mbaya zaidi. Ni maoni tu.

Jioni njema
 
Utaelewaje na wewe bubu ? Si unafahamu bubu hasikii wala hasemi ? Naona unataka kumfahamisha kipofu rangi nyeusi ,taratibu !! Naisemea Chadema kwani ndio kwa niionavyo imekuja na meno ya juu ,so tunataka kuona meno hayo yanafanya kazi kiume !!
 
Kweli JF ni kama wavu wa kuvulia samaki, ambamo wakati wa kuvua samaki na konokono wote huvuliwa..... Hivyo sishangai hizi pumba kutolewa na huyu jamaa humu JF!!:coffee:
 
Nilitaka waendeleze mapambano hadi kieleweke na si kuonyesha udhaifu ,kuhusu kuishughulikia CUF kamuulize babayyako au yenu Nyerere kwa nini alimuita Maalim Seif SHarif Hamad na kumuomba radhi kule Butiama. Au umeshau kama CUF wana yote kama ni Crusade ipo na kama ni Jihadi ipo ,si ungewauliza Polisi kilichowakuta Pemba ?

Hivi mna wabunge wangapi huku bara? na mna miaka mingapi kwenye upinzani?

Kuna growth kwenye chama chenu au?

Mmeamua kujichimbia kwa aibu hamonekani siku hizi hasa Tanganyika
 
Nasikia Maalimu Seif kila wiki lazima anunuwe suti mpya, maana ule mkasi anaotembea nao unamchania nguo kweli, maana kazi za Maalimu Seif ni kumuwakilisha Dr Shein kwenye sherehe za maulid, semina za madawa ya kulevya, kufunguwa warsha na kufunga makongamano. kazi ipo.
 
Kweli JF ni kama wavu wa kuvulia samaki, ambamo wakati wa kuvua samaki na konokono wote huvuliwa..... Hivyo sishangai hizi pumba kutolewa na huyu jamaa humu JF!!:coffee:

Wacha kuidharau JF ,na sentensi zisizo kuwa na kichwa wala miguu ,ivi hao samaki ulivua kwenye msingi ? Tatizo mlilonalo wengi ni kujifanya wakereketwa wakuu wa Chadema ,matokeo yake too much know without knowing ,sasa hili la Chadema kuwa cool na kukaa kimya hulioni au ndio umependa chongo ?
 
Nilitaka waendeleze mapambano hadi kieleweke na si kuonyesha udhaifu ,kuhusu kuishughulikia CUF kamuulize babayyako au yenu Nyerere kwa nini alimuita Maalim Seif SHarif Hamad na kumuomba radhi kule Butiama. Au umeshau kama CUF wana yote kama ni Crusade ipo na kama ni Jihadi ipo ,si ungewauliza Polisi kilichowakuta Pemba ?

Pole Hawakuhusu endelea na ya kwako.
 
Watu kama hawa hawana tofauti na wale ambao wanatake pleasure in inflicting pain unto others! This guy is enjoying when he sees the number of people browsing and commenting on his thread!

We are giving him that pleasure!

As always, 'my son dont talk bad of the dead and the stupid'......i will always remember that advice!
 
sasa mkiambiwa msome shule mnasema ooo wanapendelewa . Kama huwezi kujitambua na huo umaskini wako nani atakusaidia? Sana sana umebahatika kuona kiibodi ambayo kati yake na wewe sioni kingine
 
never argue with a fool, people might not notice the difference

[FONT=georgia, bookman old style, palatino linotype, book antiqua, palatino, trebuchet ms, helvetica, garamond, sans-serif, arial, verdana, avante garde, century gothic, comic sans ms, times, times new roman, serif]To speak and to speak well are two things. A fool may talk, but a wise man speaks[/FONT],so in difficult times, we look to leaders for hope. Hope is a potent message. Focus on the future and what can be done .
 
Wacha kuidharau JF ,na sentensi zisizo kuwa na kichwa wala miguu ,ivi hao samaki ulivua kwenye msingi ? Tatizo mlilonalo wengi ni kujifanya wakereketwa wakuu wa Chadema ,matokeo yake too much know without knowing ,sasa hili la Chadema kuwa cool na kukaa kimya hulioni au ndio umependa chongo ?

Hata kinyeo kinaongea kwa kutoa vishuzi,ni sawa na kinywa chako..
 
sasa mkiambiwa msome shule mnasema ooo wanapendelewa . Kama huwezi kujitambua na huo umaskini wako nani atakusaidia? Sana sana umebahatika kuona kiibodi ambayo kati yake na wewe sioni kingine
Mfamaji ? ama kweli huachi kutapatapa .si umeona safari hii mtihani haukuvuja, nilitaraji Chadema wangemshukia waziri wa elimu na serikali yake ? Walimu wakipigwa viboko mnapiga makelele.
 
sijui ushujaa umeutoa wapi wa kutoa boko kama hlo
Hawa waliojibu wengi wao ni wapiga debe ,hawawezi kutoa jibu la uhakika hapa ,wanabaki na majibu yasio na kichwa wala mguu ,yaani ukijumulisha walichojibu utawaona sio watu wa siasa kabisa wala hawaelewi nini siasa ,just wamejua kuandika na kusoma na kubahatika kuwepo hapa JF ndio weshajiona ni wanasiasa au wanaweza kujibu hoja za kisiasa ,yaani hata sijauliza suala kubwa ,ila ndio kama unavyowaona ....wamechanganyikiwa kwa sababu hawana jibu la kuridhisha hapa JF.
 
Back
Top Bottom