Kwa nini baadhi ya viongozi wa Afrika hawaongozi nchi zao kwa uadilifu

kazikubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
597
145
Inaonyesha idadi kubwa ya viongozi wa Afrika wanapoingia madarakani huwa na lengo la kujinufaisha wao na wale wanaomzunguka na kuwasahau wale waliowachagua. Je, ni mdudu gani aliyeingia katika nafsi zao hadi wanakosa uadilifu? Je hawatamani kupata zawadi ya MO Ibrahim?
 
Back
Top Bottom