Kwa nia njema..,sema hapana...!

Kwani kati ya sita na lowasa bora nani? Maana lowasa ana kashfa ambazo kwa serikali ambayo ni shupavu na imara angekuwa ashafungwa na kunyongwa siku nyingi sana, jambo kubwa kwake yeye la kumshukuru Mungu ni kutozaliwa CHINA na kuzaliwa nchi kama TZ yenye serikali legelege na inayojua kubebana yenyewe ndani ya chama chao
Lowasa huyo hata ukimuuliza mtoto atakwambia hapana manake hajifichi, sitta amezidi unafki sana, yaani anaeza kukuua huku anakuchekea!
 
Nyerere, Mwninyi, JK sio wazee vipi Lipumba? au una chuki na hao tu? hujanidanganya, binafsi sina ugomvi na uzee au ujana ila dhamira safi na nchi yetu

Uzee hauwezi kuwa kigezo pekee au ujana. Suala ni uadilifu wa mtu mwenyewe anaweza kuwa mzee au kijana.
 
View attachment 49791

wametuhadaa wakatumia nguvu zetu katika kuwapamba na kuwabeba..,

wametufanya tupigwe risasi na kuuawa wakaita vifi vya kishujaa..,

wametuibia na kufanya ufisadi wakidai ni akiba ya kizazi chao kijacho..,

wanagawana vyeo kwa hila wakituambia tusubiri muda wetu bado..,

wanatumia midomo yetu kusemea ajenda zao..,

wanatuahidi madaraka na kutupa vifo..,

vijana kwa pamoja tuseme NO COUNTRY FOR OLD MEN...!
kwani wewe hutazeeka? wacha ujinga wako .
 
Inawezekana hawa wazee hawafai ila urais sio tuingie kwenye try n error ...
vijana wameonyesha udhaifu kiasi kikubwa.

wanazunguka na guns ;Masha huyu analewa na kutishia watu silaha akiwa waziri mwenye dhamana ya kuhakikisha usalama wa raia.Malima skendo bado mbichi.

Wengine hawako royal kwa team;Zitto huyu inabidi kuonyesha kukomaa ingawa kijana kuonyesha anaweza kuflow na team ,yes kuna ku agree to disagree but you must be royal to the team flow by resolution ..ukishindwa hivyo utaweza wapi kwa nchi.

January never been tested mengi anayofanya inaonekana is to make impression
Track record ni muhimu sana jamani...ila kwa kuwa ni vijana wana muda wa kufanyia kazi mapungufu
jamani kuna mambo mengi ikulu ...naunga mkono vijana ila sio hawa tunao wajua ...
na usithubutu kuwapima katika comfort zone...you dare ..brother!!
Acha tu ni-like hii kitu ina ukweli aisee...!
 
View attachment 49791

wametuhadaa wakatumia nguvu zetu katika kuwapamba na kuwabeba..,

wametufanya tupigwe risasi na kuuawa wakaita vifi vya kishujaa..,

wametuibia na kufanya ufisadi wakidai ni akiba ya kizazi chao kijacho..,

wanagawana vyeo kwa hila wakituambia tusubiri muda wetu bado..,

wanatumia midomo yetu kusemea ajenda zao..,

wanatuahidi madaraka na kutupa vifo..,

vijana kwa pamoja tuseme NO COUNTRY FOR OLD MEN...!

we ni tunda la jakaya? Vigezo vyako vinatokana na upembuzi gani? Umri na uwezo ni vitu viwili tofauti. I dont buy your promo
 
Back
Top Bottom