Kwa mwerevu Siasa za ZANZIBAR zina mafanikio makubwa!

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Shein alipitishwa kugombea si kwa uwezo wake bali upole na ukasuku. Pia ni mpango mkakati wa kumzima mpinga muungano Bilali aliyekuwa na nafasi kubwa ya kuwa raisi.

Mafanikio kwa UKRISTO.

Huu ni wakati wa kuudhilisha ukiristo wetu kwa kutowaza kisasi wara hasira.

Wanaochoma makanisa tuwaombee msamaha waachwe huru. Tuwaombee roho zao zipate ufahamu watende mungu atakavyo.

Tusitoe matamko makali zidi ya uislam kwan ata msingi wa uislam ni amani.

Tuamini kama Mungu ndiye aliyejenga nyumba za ibada basi atatupa uwezo wa kujenga makanisa mengine makubwa kuliko hayo.

WAUMINI WA KIKIRISTO KOTE WALIKO WAUNGANE JUMAPILI IJAYO WAFANYE ARAMBEE YA KUJENGA MAKANISA MENGINE MAKUBWA NA MAZURI ZAIDI ZANZIBAR Kufidia yaliyochomwa.

Majaribu hayaepukiki ila ole anay...

Mungu na atufanye chombo cha Amani.

Tusiombe fidia mtu yoyote kwani Mungu katupa nguvu na akili tukiungana tunaweza

Tuungane wakristu wote tuchangie zanzibar, Elimu duni, Miundombinu mibovu na majanga vinaiangamiza

Mpende adui yako, Mwombee anayekuuzi ili mungu ambariki na asikuuzi tena. Ktk hili someni Math 5-7(mahubiri ya yesu Mlimani)

Mkienenda kinyume nanyi hamsaili kuitwa wakristo bali watu wa mataifa.

Selikali sasa ianze kuona haja ya kushugulikia kero za wananchi na si kujificha na kuwaziba midomo wachache wanazitoa kero hizo. Kwani ni muda sasa kero zimekuwa mtaji wa wapigakelele ambao hupewa vyeo

Mjadala wa katiba uwe wazi kama wengi Zanzibar hawautaki muungano na Tuachane kwa AMANI tusijeachana kwa shari kama ETHIOPIA NA ERITRIA, SUDAN, KOREA au URUSI.

Tukashindwa kutembeleana. Kama kunahaja tutaungana tena Kama UJERUMANI wananchi wote wakiamua. Kwani muungano ni kwaajiri ya wananchi na si Viongozi.

MUNGU IBARIKI ZANZIBAR

MUNGU IBARIKI TANGANYIKA

SIKUZOTE MAPINDUZI HUANZISHWA NA ''WAHUNI".
 
Neno la busara kwani huu ndio wakati wa kuionesha dunia kwamba ni jinsi gani watoto wa yakobo(israel) walivyo na hekima ya kimungu.
 
Swali langu ni hivi; toka hizi vurugu zianze kuna tamko lolote kutoka serikali ya jamhuri kukemea hayo yaliyotokea?? Rais wetu Waziri Mkuu, Waziri wa mambo ya ndani wako wapi na hili swala mbona wamekaa kimya..siamini hamna tamko lolote kutoka serikalini au kama lipo naomba mtufahamishe.
 
kama umetumwa vile
 
umenena...mkristo na muislam wote binadam. Ukristo na uislam zote ni iman. YESU na MUHAMAD ni njia, azidie wote ni MUNGU ambae kwe2 sote twamuabudu, twamsujudu, twamtukuza. Mamlaka za dunian tumeziweka kwa msaada wake MUUMBA, na kwa msaada wake twaweza zibadlsha kwan sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU -MI NAAMIN HVYO-. Ugomvi baina yetu tukilenga kuishnikiza mamlaka tuliyo na nguvu zaid yake ni upuuzi. Kuchoma majengo ya waamin sio busara hata kdogo, yako wapi maandko ktk vtabu vyetu takatif kuhalalsha hlo? Ni mawazo tu.
 
Serikali na vyombo vyake vya dola haina budi kukomesha vitendo hivi haraka sana kabla ya Wakristo kujibu mashambulizi.
 
Swali langu ni hivi; toka hizi vurugu zianze kuna tamko lolote kutoka serikali ya jamhuri kukemea hayo yaliyotokea?? Rais wetu Waziri Mkuu, Waziri wa mambo ya ndani wako wapi na hili swala mbona wamekaa kimya..siamini hamna tamko lolote kutoka serikalini au kama lipo naomba mtufahamishe.

Sasa kama Rais muislam, makamu wake muislam, rais wa zenji muislam, makamu wa kwanza, muislam, makamu wa pili muislam. Utaka watoe kauli gani? kwani kuna msikiti umechomwa? wote hawa wapo pamoja tu, si mambo haya huwa wanaonga misikitini bana! wala hawajifunzi kwenye mihadhara bali huhubiriwa msikirini
 
Bilala hana lolote kwanza wakati mnachoma makanisa yeye kwanza ndio anaendelea kukata mkasi kufungua vitabu vywa alahaji makamba
Shein alipitishwa kugombea si kwa uwezo wake bali upole na ukasuku. Pia ni mpango mkakati wa kumzima mpinga muungano Bilali aliyekuwa na nafasi kubwa ya kuwa raisi.
 
Swali langu ni hivi; toka hizi vurugu zianze kuna tamko lolote kutoka serikali ya jamhuri kukemea hayo yaliyotokea?? Rais wetu Waziri Mkuu, Waziri wa mambo ya ndani wako wapi na hili swala mbona wamekaa kimya..siamini hamna tamko lolote kutoka serikalini au kama lipo naomba mtufahamishe.

Nafikiri Dr. feki Nchimbi, waziri wa mambo ya ndani tayari ametoa maelekezo kwa jeshi la polisi!!!!

Tiba
 
Siamoni kama hilo ni tangazo la baraza la maaskofu

Mkuu, mleta mada hajazungumzia baraza la maaskofu hata kidogo. Amezungumzia "Balaza la Maaskofu" ambacho ni kitu tofauti kabisa na "Baraza la Maaskofu"

Hata hivyo uandishi wa huyu Bwana sijui ukoje kwani sehemu ya kuweka "l" yeye anaweka "r". Inawezekana ni product ya shule za kata. Samahani lakini!!!!!

Tiba
 
Asanteni sana MODS kwa kubadilisha huu uzi.........
lakini bado hamjatenda haki......anapaswa kwenla lupango angalao siku mbili!!!!:lock1:
 
Mada imeeleweka uzi niliuandika
"Balaza la maaskofu, kwa mwelevu siasa za zanz...," hii inamaanisha niliyoandika ni ushauri kwa baraza la maaskofu Tanzania.
Ningeandika Baraza la maaskofu lasema ... ... Au Balaza la maaskofu; kwa mwelevu.... Ndio nilichosema kingekuwa ni tamko la Balaza la maaskofu
 
Back
Top Bottom