Kwa mwenendo huu, uamuzi wangu wa kutompigia kura kikwete chaguzi zote ulikuwa sahihi

NdasheneMbandu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
940
308
Nateseka, naumia na kukosa matumaini ya kufika mwaka 2015 ambao ndiyo fursa pekee ya kutua mzigo mzito unaotuelemea wa kiutawala. Hata hivyo, nguvu pekee inayoniwezesha kupata moyo wa uvumilivu ni pale ninapokumbuka kuwa kura zangu kwa vipindi vyote viwili vya uchaguzi sikumpigia rais aliyepo madarakani. Kwa hiyo, sijilaumu.
 
Hujilaumu! Sasa unalalama nini? si ungekaa kimya? Jk hata akigombea mwaka 2015 bado atapeta tu labda asisimame na SLAA
 
Sintapigia kura ccm =laanatuallah maisha yangu yote,Mara kupiga kura nilimpigia John momose cheso ,na ktk kituo ndio ilikuwa kura pekee magamba hawakuchakachua
 
Hujilaumu! Sasa unalalama nini? si ungekaa kimya? Jk hata akigombea mwaka 2015 bado atapeta tu labda asisimame na SLAA

kwani yeye ni mungu?Hawezi kupita hata kwa kuchakachua.Kumbe Slaa mna msalute,na 2015 jamaa atafunga gori kwa kisigino!,we ngoja tu,mtaliaje!?
 
Back
Top Bottom