Zero unit
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 288
- 220
Habari za muda huu wana JF?
Mwenzenu kuna jambo kidogo linanisumbua sana. Nina mpenzi wangu ninampenda sana ila yeye sina uhakika kama kweli ananipenda au laa. Ni kwamba mara nyingi huwa tuna wasiliana tu kwa simu coz yupo mbali hivyo tunaonana mara moja moja sana basi mwenzangu anaweza kumaliza hata siku mbili bila hata kunijulia hali sijui ni kwa nini na hili ndo linalosababisha niwe na mashaka na mapenzi yake kwangu kwani saa zingine namtafuta mimi ila simsomi kabisa jamani.
Msaada jamani, je ni kweli huyu mtoto wa kike ananipenda kweli au nipambane tu na hali yangu?