Kwa mwendo huu, Ujenzi wa SGR yetu kuja kukamilika nadhani utachukua hadi miaka 20

Tusihofu SGR itafika Mwanza kama ilivyokusudiwa tusihofu, Tozo na Watalii pesa inamiminika, hata ikichukuwa muda mrefu tusife moyo tusitoke kwenye lengo letu la kuifikisha Mwanza iwe isiwe ifike hata kama haitalipa (returns) kwa wakati.
 
Huyo ndiye hadui wa nchi ,team yake inachukia miradi ya serikali kwa kuwa itaharibu uchukuzi wa magari yao
Nafikiri kuna upungufu kidogo wa kujua chimbuko la SGR ni serikali ya awamu ya nne na ilikuwa iunganishwe na Bandari ya Bagamoyo na Dar es Salaam ielekee Rwanda, Burundi and Congo. Huku reli hii ingelipa katika kipindi kifupi na kwa manufaa makubwa kwa nchi.
 
Katafute wajinga ndio uwaambie huu utoto. Hiyo SGR kipande cha Dar-moro Magufuli alisema kitakamilika kufikia Nov 2019, mpaka leo ni porojo tu. Je Magufuli naye alishindwa hiyo vita ya matajiri wa malori?
Hii vita ya serikali na matajili wa maroli sidhani kama chief Hangaya ataiweza.

Ukitilia umuhimu wenye maroli ndiyo wenye chama
 
Ndoto za alinacha hakuna mtu wa kukamilisha miradi ya mtu mmoja
Kumbe mpuuzi ni mpuuzi. Kama ungekuwa ni mtu mzima siyo kichelema ningekukumbusha nyumba za ghorofa huko Zanzibar ambazo nikiwa darasa la 7 Karume aliuawa bila hizo nyumba kukamilika. Lakini alipotawala mtoto wake zilimalizika. Nakuapia miradi ya Jembe JPM itamalizika tu
 
Kwa hiyo JK ana nguvu kuliko nyie wote wa chama cha majizi.
Bado akili haijakomaa. Kuna jamaa humu aliandika kuwa sasa vyuma vimelegea kwa vile wakubwa wanadonoa donoa ingawa sisi bado hali ni ngumu kama wakati wa JPM. Hujui kuwa Rais kwetu hapa ni Mungu mdogo kikatiba?
 
Wabongo kwa lawama siwawezi, kosa la hangaya hapo ni nini? Jiwe mwenyewe alituhakikishia dar to moro Nov 2019 tutaanza kupanda sgr je ilpofika mzalendo mulimuuliza imekuwaje tena bado? Huyo huyo mzalendo akatudanganya tena April 2020 kinawashwa, je sgr iliwaka? Asa Maza hapo analaumiwa nini si jiwe alikuwa bado hajafa? Asaiv mmerukia bandari ya bagamoyo wakati Maza kawahakikishia tz hatoi hata shingi tano kwenye huo mradi.
Sasa kama Tz haitoi hata Tsh 5 si ndo nchi inaolewa Sasa????
 
Kumbe mpuuzi ni mpuuzi. Kama ungekuwa ni mtu mzima siyo kichelema ningekukumbusha nyumba za ghorofa huko Zanzibar ambazo nikiwa darasa la 7 Karume aliuawa bila hizo nyumba kukamilika. Lakini alipotawala mtoto wake zilimalizika. Nakuapia miradi ya Jembe JPM itamalizika tu
Nakubaliana na wewe ila uangalifu unahitajika ili tuweze kuimaliza bila kuleta madhara kwenye uchumi. Kuna vitu haviwezi kusimama ila sio SGR we have to prioritise our things. We have to invest where we can reap up the return quickly. Hatuwezi ku invest na kusubiri kudra za Mungu kupata returns. Wachumi wanajua ninachokizungumza.
 
Wabongo kwa lawama siwawezi, kosa la hangaya hapo ni nini? Jiwe mwenyewe alituhakikishia dar to moro Nov 2019 tutaanza kupanda sgr je ilpofika mzalendo mulimuuliza imekuwaje tena bado? Huyo huyo mzalendo akatudanganya tena April 2020 kinawashwa, je sgr iliwaka? Asa Maza hapo analaumiwa nini si jiwe alikuwa bado hajafa? Asaiv mmerukia bandari ya bagamoyo wakati Maza kawahakikishia tz hatoi hata shingi tano kwenye huo mradi.
Ina maana kama hatoi hata shilingi tano maana yake haji kuchukua hata shilingi.....

Upuuzi mtupu.
 
Nakubaliana na wewe ila uangalifu unahitajika ili tuweze kuimaliza bila kuleta madhara kwenye uchumi. Kuna vitu haviwezi kusimama ila sio SGR we have to prioritise our things. We have to invest where we can reap up the return quickly. Hatuwezi ku invest na kusubiri kudra za Mungu kupata returns. Wachumi wanajua ninachokizungumza.
Ni sawa, mimi na wewe tulitegemea SGR iishe jana, hata Bwawa likamilike juzi pamoja na kupata crane ya tone 36+; ila sote siyo decission makers. Hivyo tunayaachia muumba.
 
Kumbe mpuuzi ni mpuuzi. Kama ungekuwa ni mtu mzima siyo kichelema ningekukumbusha nyumba za ghorofa huko Zanzibar ambazo nikiwa darasa la 7 Karume aliuawa bila hizo nyumba kukamilika. Lakini alipotawala mtoto wake zilimalizika. Nakuapia miradi ya Jembe JPM itamalizika tu
Hakuna mradi utakao kamilika hapo
 
Hakuna mradi utakao kamilika hapo
koro-boy imagine mtu kama huyu au Tundu Lissu, wenye husuda na nchi hii wangekuwa ni decision takers wa nchi hii, nini kingefanyika? Huwezi kuwa na jinsi bali kusubiri kudra za mwenyezi mungu.
 
Bora wange jenga dual carriage way Dar to Mwanza ingekuwa na faida zaidi kuliko huu mradi usioisha.
 
Back
Top Bottom