Kwa moromboo arusha.....

Wanaume wa Arusha baada ya miaka kama 5-6 ijayo watakuwa wanatembelea wheelchair kwaajili ya kula nyama za mbuzi kutokana na ugonjwa wa GAUTi miguu/mikono/vidole kuvimba na kujaa maji! inabidi serikali ifanye jitahada ya kuwaokoa!

hivi hizo GAUTI....huwa zinashika wanaume tu?......nimesema niulize kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom