Kwa members walioko Singapore

TzPride

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
2,616
1,167
Wanajamii,

Kwa aliyeko Singapore naomba tuwasiliane, nipo hapa Mandarin Orchard hotel, Orchard road. Tafadhali tuwasiliane japo tupate mda wa kuchat kwenye kijiwe cha kahawa nakubadilishana mawazo baada ya saa za kazi.

Nitashukuru lupata mawasilaiano.

TzPride
 
Mkuu hapo Mandarin Orchard hotel ndipo unapofanyia kazi au umefikia hapo? Na kama umefikia hapo, utakuwa Singapore kwa muda gani?
 
Mkuu hapo Mandarin Orchard hotel ndipo unapofanyia kazi au umefikia hapo? Na kama umefikia hapo, utakuwa Singapore kwa muda gani?

Nimefikia hapa, nafanya kazi Jurong Island. Nitakuwepo mpaka Jumapili, July 8th.

Kama uko maeneo haya tuonane mkuu.
 
Nimefikia hapa, nafanya kazi Jurong Island. Nitakuwepo mpaka Jumapili, July 8th.

Kama uko maeneo haya tuonane mkuu.

Mkuu nashukuru sana lakini hiyo mitaa mbona siyo mizuri maana shughuli za mtaa huo hazileti picha nzuri hasa ukizingati Malaya na mashoga nido maeneo yao hayo, hivyo basi safri nyingine jaribu kufikia hotel mabayo haipo maeneo hayo, ni wazo tu.
 
Mkubwa, wazo lako ni zuri lakini ujue kwamba hii ni mara yangu ya kwanza kuwa singapore, zaidi ya ku-stop over nikienda mahali pengine. Nipaonapo hapa, ni mahali pa kati kabisa mwa Singapore. Ni mahali ghali sana, lakini la hilo malaya ni kitu kinategemea ww unapenda nini.
Mkuu kama uko huku tuwasiliane tupige story, naona nimezungukwa na mijitu ya asia tu hapa, comapany ni finyu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom