shaban lee
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 303
- 919
Hayo unasema wewe, tuoneshe hilo tusi liko wapi?
Mkuu hebu rudii maabaraa wakakuchunguzee guze hcho kichwa chakoo upyaaaaaa
Hayo unasema wewe, tuoneshe hilo tusi liko wapi?
mtama tutampa
Halafu wewe mwanamke kama lichangudoa vile
Mkuu hebu rudii maabaraa wakakuchunguzee guze hcho kichwa chakoo upyaaaaaa
Onyesha hilo tusi wacha porojo.
Mkuu hebu rudii maabaraa wakakuchunguzee guze hcho kichwa chakoo upyaaaaaa
Nina wasiwasi ubongo wako wa mbele haufanyi kazi.
Asaaa we unamteteaa nape kwa maneonoo yakee lamzaa tukushangaeeee
Hayo unasema wewe, tuoneshe hilo tusi liko wapi?
Bro unamaanisha shanga zikidondoka anainama kuokota amaNi dhahiri wameshikwa pabaya ndio maana wamepanic ila huyu jamaa huwa namuona ni chizi fresh tangu ata kabla ya hekaheka za kampeni. Hivi huwa hagongi kweli vyombo huyu..
VIVA UKAWA!!!
Huyu ndugu anayo familia? na anaporejea nyumbani watoto wanasema shikamoo baba, tumekuona ukinguruma jukwaani? wale watoto wanaowavutia kwenye fiesta za kampeni wanajifunza nini kutoka kwa dubwasha hili?