Kwa matusi haya Nape hastahili kuwa kiongozi

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Wana jamvi tumekuwa tukishuhudia matusi kutoka kwa Nape Nauye kupitia mikutano yake ya kampeni dhidi ya viongozi wa vyama vya upinzani huku tume ya taifa ya uchaguzi ikiyafumbia macho, ni wakati muafaka wananchi wa jimbo la Mtama kukataa kumchagua kiongozi wa kutukana.
 
Hayo unasema wewe, tuoneshe hilo tusi liko wapi?
 
Ni dhahiri wameshikwa pabaya ndio maana wamepanic ila huyu jamaa huwa namuona ni chizi fresh tangu ata kabla ya hekaheka za kampeni. Hivi huwa hagongi kweli vyombo huyu..
VIVA UKAWA!!!
 
Kiboko yake Mzee makamba, alimfukuza ccm na kumfuta uanachama harafu akamwambia aliyekataliwa duniani amekataliwa na mbinguni. Chezea Mzee makamba wewe
 
Kwako Faiza Foxy....kemea maovu kama vile kumbeza MwenyeziMungu...kwa yoyote yule awe CCM..UKAWA etc etc.Kulea maovu kama vile mitusi hakutakuweka mahala pazuri.Nina Imani unaelewa na umefundishwa kwamba MwenyeziMungu humpa amtakae na humnyima amatakae na kuna wimbo ule wa kipindi cha wagonjwa wetu ni funzo kwako na sisi pia.Tumuombe MwenyeziMungu atusamehe makosa yetu.
 
Matatizo mengine ni ya malezi! Biological father hakuwajibika na baba wa kufikia pia hakuona sababu ya kuwajibika hivyo watu sampuli hiyo ni wa kusamehewa bure!
 
Ni dhahiri wameshikwa pabaya ndio maana wamepanic ila huyu jamaa huwa namuona ni chizi fresh tangu ata kabla ya hekaheka za kampeni. Hivi huwa hagongi kweli vyombo huyu..
VIVA UKAWA!!!

Anazidi kuchanganyikiwa mtama hawamtaki hata kidogo ubunge atausikilizia kwenye mabomba.
 
Back
Top Bottom