kwa matukio ya Arumeru Mashariki angalieni www.chadema.tv

Neema William

Senior Member
Jan 3, 2012
171
76
jamani mkitaka kucheki nini kinaschoendelea Arumeru mashariki kwa kirefu zaidi kwenye picha tembeleeni web Tv ya chadema muone wazee wa kazi wanavyotoa Dozi kwa magamba, Haslima Mdee ndani ya Nyumba, sugu ndani yas Nyumba , Msafiri mtemelwa ndani, heche, DK Slaa ndio usiseme, Mbowe ndio kabisa wote wanafanya mashambulizi bila kumsahau msigwa, vicent Nyerere, John Mrema na wengine kibao, heko CDM
 
.
Gamba popote pale lilipo liombe Mungu lisizukiwe na makamanda hawa, maana hakuna rangi litaacha kuona. Hizi ni silaha zinazoangamiza kwa upande mmoja na kutibu kwa upande wa pili. Ni kama yale maji ya Nuhu yaani maji yale yaliyowaangamiza waovu kwa kuwazamisha ndiyo hayo hayo yaliyowaokoa wenye haki yalipowatenga kwa kuwapeleka juu.
.
 
Hello
To all visiting the Jamii forum. i am glad that we have such a nice place to post our concern. This site is very important to exchange and inform our peoples all happens and what is going to be. Tuendeleze wigo la upeanaji habari. asanteni.

Tibs
 
Back
Top Bottom