Kwa matokeo haya, am proud to be product of galanos

examination centre ranking

examination centre region
tanga
total passed candidates
305
examination centre gpa

3.5644
centre category
centre with 30 candidates or more
centre position in its category(regionwise)
6/14
centre position in its category(nationwise)
80/326
 
Mikwara ya MSOCHA na Mkuu wao MARK MASTER pamoja na kuchunga ng'ombe na kulima kumewapa machungu ya kusoma
 
examination centre ranking

examination centre region
tanga
total passed candidates
305
examination centre gpa

3.5644
centre category
centre with 30 candidates or more
centre position in its category(regionwise)
6/14
centre position in its category(nationwise)
80/326
Wamekuwa wa 80 kitaifa bado wanasifiwa hapa....lol! Sijui hao waliokuwa kwenye top ten tuwafanyeje!!
 
Galanos shule ya ajabu sana wakati mi nasoma pale kipindi yupo kinala kulikuwa hakunj walimu wa kutosha lakini watu walikuwa wanafaulu sana tena watu walikuwj wanafaulu hata masomo ambayn hayana walimu kabisa
 
Back
Top Bottom