Kwa mara ya kwanza Dr Bana aongea point!

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,672
68,638
Akichezesha taya na mwandishi wa TBC1 Marin hassan,dr benson bana alitamka wazi kabisa kwamba tatizo sio mawaziri wapya bali ni mfumo mzima wa uteuzi,alisitiza kwamba tutapoandika katiba mpya swala la rais kupewa madaraka ya uteuzi wa kila kitu ndio unaokwamisha uwajibikaji ndani ya serikali,safi sana Dr Bana kwa kuliona hilo.

Nawasilisha
 
Point gani na pumba zake za ripoti ya redet, hana lolote ,, huenda posho imechelewa mwezi huu kwa hiyo imebidi aume ili ije haraka ( Wasomi ni chakula cha wanasiasa)
 
Point gani na pumba zake za ripoti ya redet, hana lolote ,, huenda posho imechelewa mwezi huu kwa hiyo imebidi aume ili ije haraka ( Wasomi ni chakula cha wanasiasa)

Nadhani ameanza kuona namna upepo unavyovuma. Lakini kutambua kuwa huyu jamaa haaminiki na yuko biased kwa wanampatia kitumbuo chake.
 
Point gani na pumba zake za ripoti ya redet, hana lolote ,, huenda posho imechelewa mwezi huu kwa hiyo imebidi aume ili ije haraka ( Wasomi ni chakula cha wanasiasa)

Haaa inawezekana hajapata posho kumbee lol
 
Hivi Hapa Tanzania Ni Dr. Bana aka Mchumia Tumbo ndiye mchambuzi wa Siasa?Why TBC1,UHURU,Daily News,Habari Leo?Mbona uchambuzi wake siku zote haufanani na title yake Dr....?

Ndoto zake ni kuwa Mukanda Part II......Hatangoja kama wafuasi wa Kibwetere
 
hivi hapa tanzania ni dr. Bana aka mchumia tumbo ndiye mchambuzi wa siasa?why tbc1,uhuru,daily news,habari leo?mbona uchambuzi wake siku zote haufanani na title yake dr....?

Ndoto zake ni kuwa mukanda part ii......hatangoja kama wafuasi wa kibwetere

nashukuru huyu bwana bana alikuwa shule wakati nasoma mlimani la sivyo ningekuwa naoona aibu kummwita mwalimu wangu
 
hana lolote , hata kichaa dakika chache anaweza ongea point haiondoi uchiz wake!
Huyo ni mchumia tumbo Tu hayo kauli haijambadilisha!
 
Akitumia kauli mbiu ya chadema anapewa hongera

akitumia kauli mbiu ya CCM anapewa matusi.

CHADEMA + CCM = BANA
 
Juzi kati hakuna aliyekuwa anamsikiliza Bana lakini leo kwa maneno hayo machache amekuwa Lulu

Tungoje wiki ijayo atakapokuja kivingine.
 
hana lolote , hata kichaa dakika chache anaweza ongea point haiondoi uchiz wake!
Huyo ni mchumia tumbo Tu hayo kauli haijambadilisha!

Point. Pia hesabu miaka mingine kadhaa ndipo ataweza tena kutoa point yoyote ya maana.
 
Dr Bana sio mjinga wa moja kwa moja, anaweza kusoma alama za nyakati. Leo kaongea point kidogo, tangu namfahamu.
 
Yeye pia ni mshauri wa Rais, kwanini hakumshauri kubadili mfumo unaoendana na mazingira halisi ya sasa, badala yake anakuja kuropoka tbccm
 
Juzi kati hakuna aliyekuwa anamsikiliza Bana lakini leo kwa maneno hayo machache amekuwa Lulu

Tungoje wiki ijayo atakapokuja kivingine.
labda kawa lulu kwako,mimi sina lolote la kujivunia linalotoka kinywani mwa huyu mlamba miguu
 
jamani huyu Msomi anadhalilisha sana taaluma yake kwa kuwa ana "mahaba na CCM"..... Hawezi kuongea point ya maana zaidi ya kufagilia tu chama chake
 
Back
Top Bottom