Kwa malaya bila kinga

Mkuu mtu asikutishe, unaweza fanya mapenzi bila kinga ukaathirika au usiathirike, usije kufa kwa mawazo bure!
cha muhimu subiri baada ya muda ukapime. ila kama ndio kawaida yako kuwatafuna hawa viumbe bila zana, pia uko kwenye hatari zaidi. maana ukishazoea bila ZANA huwezi kutumia ile kitu. Jipe moyo mzee, unaweza lala na mtu mwenye ngoma na bado usipate.
 
Kula vizuri,lala vizuri,pumzisha mwili wako na pia ufanye mazoezi kwa sana.Ukizingatia hayo utaishi kwa matumaini bado unayonafasi ya kuishi kijana hebu jiamini..(It's a joke)


Usisikilize maoni ya JF mkuu, kubali kufanya maamuzi magumu ya kwenda Angaza kupata uhakika wa afya yako.
 
Suicide bomber, da uliamua kujitoa mhanga, hahahaha, kama hukuwa na mchubuko ni vigumu sana kupata ngoma, pole sana, ila umenikumbusha mbali sana
 
Wana MMU naombeni ushauri wenu hii weekend iliyopita nimepatwa na janga mpenz wangu yuko mbali sasa hamu ya kudo imenikamata kwa muda mrefu sasa nikaona njia rahisi ni kwenda mjini na kununua malaya sasa jambo la ajabu nimekwenda nae mashine ikagoma kusimama na sio kawaida sasa katika hali ya kuibembeleza nilivua condom nakuchezesha kichwa kwenye mlango wa uke sasa ikasimama nikaingiza bila ndom ila baada ya dakika kama 3 au 4 nika mwaga sasa nilipomaliza nilijilaumu sana kufanya na malaya bila kondom sikuendelea nikampa pesa nikaondoka na stress naomben ushauri kama anao je nishaumia mana sina raha nikifikiria lile jambo.

Usiwe na wasi wasi kabisa kama ulipofika nyumbani uligoka basi mambo ni poa.
Unakumbuka rais wa afrika kusini alisema hivyo baada ya kutembea na mwanamke mwenye ukimwi.

Joke aside how old are you? Yaani kwa mwafrika kuwa mbumbumbu wa namna hii ni ajabu sana. kila
kukicha suali hili linajadiliwa na kuelimishwa, halafu anatokea mtu kama wewe unakuja hapa kuta ushauri
gani? unataka tukwambie kuwa hujaambukizwa kwa vile ulifanya mara moja tu? For your information kwa sasa
una 99% chance kuwa unao nenda kapime haraka na PLEASE PLEASE kwa muda huu epuka kufanya mapenzi
na mpenzi wako na kama ukifanya PLEASE PLEASE tumia condom, usimuuwe mtoto wa mwenzio bure!!!!!
 
hee jaman mbona mnawaka sana ugumu ulinizidi ila siwezi rudia lala na malaya hata kama nikikutwa nao coz hata hvyo ni mara ya kwanza kulala na malaya.
 
Duh kweli ujana ni maji ya chumvi, samahani moto. Hapa inaonyesha kabisa kuwa malaika wako walikuwa hawataki ufanye lile tendo na ndiyo maana deshelele lako likawa mgogoro, na wewe ukalazimisha lisimame kwa maamuzi ya kihasara. Mkuu hapa utajamba tu kila kukicha, we subiri kama mezi minne hivi ukapime ila in between hepuka kufanya ngono na mpenzi wako mpaka upate jibu kamili na pia usijipe mawazo ya hajabu mwishowe ukapatwa na magonjwa yasiyotibika.
 
Ulichofanya si sahihi mtake msamaha mungu wako kisha ukapime utaalam ulioko sasa waathirika wanaishi zaidi ya robo tatu ya life span ushauri mwingine unaopewa ni wa
kijinga.
 
Ha ha ha ha ha, ushauri gani sasa?

Cha muhimu mlinde mpezi wako? Usifanye naye bila kinga kabla hujajihakikishia uko salama. Utakuwa umeua kwa kukusudia ukimwambukiza.

Subiri incubation period ipite afu ukapime.
Ujana maji ya moto
Finito. Afuate hayo tu, maana kunyonya virusi hatuwezi. Labda kama ingekuwa ukimmwagia mwingine manii we vinatoka ninemshauri avirudishe alikovitoa
 
Ngalewa kula mboga za majani, matunda, mlo kamili, maziwa....
halafu baada ya miaka miwili nenda kafanye registration kwenye kituo cha karibu nawe ili uweze pata dawa za bure.
 
Uwazi kama huu humu ni shule kwa wengine sasa inapogeuka mizaha mtapunguza watu kuleta mambo yanayo wagusa!

Binadamu tunavyohukumu! mngejua pengine hao wenzi wenu wanafanya nini nyuma ya pazia mngekufa siku si zenu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom