Kwa maigizo yanayoendelea sasa hivi ,unaweza ukatengeneza season ya prison break

richaabra

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
1,454
3,469
Wakuu tokea jpm aingie madarakani now imekuwa ni mwendo wa series tu,kila mteuliwa akiamka lazima abuni movie yake,ili aonekane anafanya kazi,,kama hi movie ya juzi ya mheshimiwa na gwanda
1472123151489.jpg
 
Alisahau skafu au?
Hao watatu wanaonyesha kabisa state of emergency
1. Yuko casual ila kama anamshangaa jamaa jinsi alivyojiandaa
2. Ni Kamanda Sirro inaelekea hapo alipokuwa alikuja haraka kama alivyo
3. Askari wa uniform amesahau kufunga hata mkanda..hii ni dharura kwahiyo akili yote iko kwenye tukio
Halafu Kituko kiko kwa Lameck! Yuko very well dressed? Truly this looks weird
 
swali ni kwamba aliyempigia simu kwanini hakupigs polisi akapiga kwa waziri? na namba ya waziri kaitoa wapi ndani ya huo muda?na Waziri kwanini hakupiga simu hili apate ulinzi? by Lissu.

swissme
 
Hao watatu wanaonyesha kabisa state of emergency
1. Yuko casual ila kama anamshangaa jamaa jinsi alivyojiandaa
2. Ni Kamanda Sirro inaelekea hapo alipokuwa alikuja haraka kama alivyo
3. Askari wa uniform amesahau kufunga hata mkanda..hii ni dharura kwahiyo akili yote iko kwenye tukio
Halafu Kituko kiko kwa Lameck! Yuko very well dressed? Truly this looks weird

Lameck alijua kuna tukio litatokea?
 
naona mzee wa skafu kawa amiri jeshi mkuu wa jeshi la polisi..
Nasubir sehemu nyeti iungue nimuone kama ataenda na gwanda za askari wa zimamoto...
 
Wakuu tokea jpm aingie madarakani now imekuwa ni mwendo wa series tu,kila mteuliwa akiamka lazima abuni movie yake,ili aonekane anafanya kazi,,kama hi movie ya juzi ya mheshimiwa na gwanda View attachment 387400
Siku akiuliwa babaako au mama yako ndio utakuja jua kwamba ni maigizo au sio maigizo..
Watu mnapenda sana kuchukulia masihara kila jambo
 
Siku akiuliwa babaako au mama yako ndio utakuja jua kwamba ni maigizo au sio maigizo..
Watu mnapenda sana kuchukulia masihara kila jambo
Acha povu we mlumumba,kinachozungumzia hapa sio tukio la mauaji,bali ni uvaaji wa huyo waziri wa mambo ya ndani,kulikuwa na ulazima gani kwa mtu ambaye hata hajawahi kupita mafunzao ya upolisi kuvaa uniform za jeshi la polisi?..Ili iweje sasa?,Kulikuwa na ulazima huo?...Mauaji yaliyotokea kila mtu anayakemea,lakini sio swala la kujichukulia ujiko feki kwa kuvaa uniform za polisi...
Tuliza munkari Le Lumumbaz.
 
Hao watatu wanaonyesha kabisa state of emergency
1. Yuko casual ila kama anamshangaa jamaa jinsi alivyojiandaa
2. Ni Kamanda Sirro inaelekea hapo alipokuwa alikuja haraka kama alivyo
3. Askari wa uniform amesahau kufunga hata mkanda..hii ni dharura kwahiyo akili yote iko kwenye tukio
Halafu Kituko kiko kwa Lameck! Yuko very well dressed? Truly this looks weird
And the Award for the Best Male Actor,goes to.............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom