Kwa mahitaji ya nyumba, mashamba, viwanja vya aina zote, fremu, maofisi Dodoma iwe kupanga au kununua tafadhali wasiliana nami

Hapana mkuu, umenifurahisha style yako ulivyoanza kwa kichwa kinachovutia then nakuja realize unauza kiwanja. Natamani kununua na kuwekeza Dom ila nafasi imenibana
Hahahaha,nimekuelewa vizuri sana mkuu.Thanks,tuko pamoja
 
Namshangaa.... ndo wale wenye vivyeo vya chini... uanajeshi ni nidhamu na sio matisho ....haifai kabisa ndugu
Umepigilia msumari vizuri apo kwenye cheo cha chini.Mara nyingi watu wenye vyeo vya chini huwa na mbwembwe na tambo nyingi sana
 
Nahitaji eneo lililopimwa bajet yangu mil3 ila sikufichi mimi ni mwanajeshi ulinidhulumu utarud kuwahadithia humu yatakayokusibu. Natanguliza shukrani
Mbwembwe za kizamani hali hata cheo huna ukijapanda na cheo sijui itakuwaje.!
 
Habari zenu wakuu!
Naomba kuwashauri watu wote wanaotaka kuhamia dodoma na wana mpango wa kujenga na hawana viwanja kuwa muda wa kununua viwanja ni sasa endapo utachelewa basi gharama itakuwa kubwa zaidi.maeneo yapo mengi na mazuri kwa makazi,biashara na huduma zingine za kijamii kama vile shule,hospitali,n.k!!!kwa mfano mdogo kuna maeneo kama unaenda machinjion dodoma mjini yako bado wazi afu kuna makazi mengi sana jirani yake,na watu wanafata huduma za kijamii mbali.hakuna shule wala hospital jiran!!!nina eneo pia la ekari 5 maeneo ya mnadani kwa atakayehitaji naomba tuwasiliane.nauza milioni 5 kwa ekari moja(4000square metres) bei sawa na bure.karibuni sana muda ndio huu
Contact; 0767833496
Nawasilisha
Mkuu tumekusoma lakini Ali tete punguza bei

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom