Jipatie viwanja manyoni mjini, michese mjini, dodoma na mashamba ruvu pwani

NOOSIGWE

Member
Sep 21, 2018
12
6
Viwanja bei poa vinapatikana Manyoni Mjini Vipo jirani na makazi ya watu Kuanzia SQM 800 na kuendelea
Bei kuanzia 1,500,000/= na kuendelea.

Viwanja 4 bei poa vinapatikana Dodoma Mjini maeneo ya MICHESE vina SQM 800 na kuendelea
Bei kuanzia 3,500,000/= na kuendelea, maelewano yapo, eneo ni zuri na huduma za maji na umeme zipo, hakuna dalali.

Mashamba 2 ekari 10 kila moja yapo RUVU maeneo ya Kitonga barabara ya kwenda Bagamoyo kupitia Kidogozelo shamba moja lipo karibu kabisa na Mto Msumbiji na bonde la Mto Ruvu bei ni kuanzia laki 7.5 kwa eka moja yanafaa kwa kilimo kuna bwawa pia lisilokauka maji

kwa wahitaji wasiliana na MHUSIKA kwa Na.0783-622067
 
Wengi tunahitaji shida kulipa kwa cash ndo shida labda kama inawezekana MTU alipe kidogo kidogo Mimi natamani ya umwagiliaji Ruvu,liwe SHAMBA pori ambalo halijawai limwa nisafishe mwenyewe,au morogoro maeneo Jirani na mito isiyokauka kwa ajili ya umwagiliaji
Viwanja bei poa vinapatikana Manyoni Mjini Vipo jirani na makazi ya watu Kuanzia SQM 800 na kuendelea
Bei kuanzia 1,500,000/= na kuendelea.

Viwanja 4 bei poa vinapatikana Dodoma Mjini maeneo ya MICHESE vina SQM 800 na kuendelea
Bei kuanzia 3,500,000/= na kuendelea, maelewano yapo, eneo ni zuri na huduma za maji na umeme zipo, hakuna dalali.

Mashamba 2 ekari 10 kila moja yapo RUVU maeneo ya Kitonga barabara ya kwenda Bagamoyo kupitia Kidogozelo shamba moja lipo karibu kabisa na Mto Msumbiji na bonde la Mto Ruvu bei ni kuanzia laki 7.5 kwa eka moja yanafaa kwa kilimo kuna bwawa pia lisilokauka maji

kwa wahitaji wasiliana na MHUSIKA kwa Na.0783-622067
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom