Kwa Laki 5 naweza nikafungua Maabara?

Microscope na vipimo vingine ni bei yake zaidi ya hiyo, unless iwe ni kodi tu.

Unless otherwise niwe sijaelewa maabara unayotaka kufungua inadeal na nini.

Maaabara ya vipimo vya magonjwa tofauti tofauti

nitaanza na Rapid test
 
Yani kodi humo humo kwenye laki tano na vifaa tiba na wafanyakazi na kila kitu!!!? Jamani nia unayo ila mtaji bado sana jipange
 
Ukikua kibiashara(not now) tuwasiliane, kuna portable device ukiwa nayo you'll make money. Inapima more than 100 diseases from gastrointestinal, hormonal to thyroid.. etc
 
Maaabara bila ya kuwa na darubini cjui unatoboaje yani na hyo si maaabara na pia hizo rapid test haziwezi kukulipa jipange tena
 
Back
Top Bottom