JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,453
- 9,757
Mwaka jana nilibahatika kuangalia mfumo wanaotumia kufanya mahesabu ya wastaafu.
Kikubwa nilichokiona ni kwamba, wafanyakazi hawawezi kulipwa mafao yote baada ya kustaafu.
Mfumo/Kanuni yenyewe iko hivi;
1. 1/580 * N *APE*12.5*33%
2. 1/580 * N *APE*1/12*67%
UFAFANUZI
1. Kanuni namba moja inaitwa Committed pension - Hii unalipwa wakati umestaafu tu. Ndio maana unachuku 33%
2. Kanuni namba moja inaitwa Monthly pension - Hii inatumika kulipwa baada ya wewe kustaafu, kwa mwezi.
N - Inasimama kama idadi ya michago ulichangia. Kwa mfano kama umeajiliwa kwa miezi 240 basi N itakuwa 240. (Hii ni sawa na miaka 20)
APE - Inamaanisha wasitani wa michango ya miaka mitatu (Miaka ile ya mwisho wa ajila). Kama uliajiliwa 2003 na kukasitaafu 2023, maanake ulifanya kazi miaka 20.
Kwenye kutafuta wastani wa mshahara wanachukua mshahara wako wa 2021 -2023. Kama mwaka 2021 ulikuwa unalipwa 1,000,000. 2022 ukalipwa 2,000,0000 na 2023 ukalipwa 4,000,000. Wastani wa mshahara utakuwa (1m+2,+4m)/3 = 2,333,333.
Hivyo APE Itakuwa 2,333,333.
12.5 - Wastani wa miaka ya kuishi baada ya kustafu - Walishafanya utafiti.
1/12 - 1 ni mwenye mmoja na 12 ni miezi 12 . Hivyo hapa wanapiga mchango kwa mwenzi.
Kwa mtindo huu. Kiwango cha juu cha mda wa kukaa kwenye ajila ni miaka 40 sawa na miezi 480..Hivyo N haiwezi kuzidi 480.
Kama kanuni ni 1/580 * 480 - hapa ni pigo kwa wafanya kazi.
Michango yetu haitatufaidisha.
NB: Bado sijaikubari hii kanuni. Kama kunanyingine nipewe.