Kwa Kikosi hiki hatari cha Yanga SC, nisiwe mnafiki Simba SC tuna kazi na nawaona Yanga SC mabingwa wa Ligi Kuu na watafika mbali CAFCL

1. Djigui Diara
2. Djuma Shaaban
3. Lomalisa Mutambala
4. Dickson Job
5. Yannick Bangala
6. Khalid Aucho
7. Bernard Morisson
8. Feisal Salum Fei Toto
9. Fiston Mayele
10. Stephan Fundi Aziz K
11. Tuisila Kisinda

Najua wana Simba SC Wenzangu hapa Jamiiforums mtanitukana sana leo ila Yanga SC Wamesajili Kimashindano na Kimkakati huku Simba SC tukiwa tumesajili Kishamba, Kipuuzi na Kienyeji.

Kazi tunayo tarehe 23 Oktoba, 2022 kwa Mkapa na naziona kama Goli 7 au 8 za Kufungwa kwa Kikosi chetu kilichojaa Mbilikimo ( Emolo ) Watupu.
Lakini sisi tuna Mzungu wao hawana...!
 
Ujinga sana huu kocha ana miezi miwili unamfananisha na kocha aliyekaa na wachezaji miaka miwili kweli tumelaaniwa waafrika Manchester United wanatengeneza team mwaka wa tano huu hawana hata dalili ya kuchukua ubingwa msimu ila simba kukosa ubingwa mara moja na kufungwa juzi mamluki wameshaanza kujitokeza na kuongea shombo.
Mbona uwa unamfananisha aziz ki mwenye miezi 2 na chama mwenye miaka 4 hapa TZ
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom