Raiamwematz
Senior Member
- May 9, 2012
- 104
- 28
Ulikuwa hujui kama ile ni nchi inayojitegemea??? yupo sahihi kabisa kupeleka salamu za rambi rambi kule!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!BOFYA HAPA: 250 wazama Zanzibar
Naanza kwa kuwapa pole wananchi wote walipoteza ndugu zao na wale walionusurika katika ajali ya kuzama kwa meli hapo jana 18/07/2012.
RIP Marehemu wote.
Maneno aliyosema Mh. Spika na tabia ya uendeshaji wa Bunge la Muungano inaonyesha kuna ubaguzi mkubwa ambapo hakuna sababu ya kuendelea kuwa na Muungano kama pande za Muungano hazina umoja na Mshikamanao wa kweli