Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,465
- 23,768
Hakuna Mtangazaji mwenye akili anaweza ongea jambo kama hili. Tanesco wana matatizo yao na pengine ni ya kisiasa zaidi. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atapendezwa na suala hili la kukatika katika umeme.
Lakini ni mtu mpumbavu tu anaweza fanyia mzaha jambo hili zito Kitaifa. Ni wakati sasa wa vyombo vya habari kuajiri waandishi wenye weledi na akili. Hawa wapuuzi wanaojificha kwenye neno ubunifu ni upumbavu na mzigo kwa Taifa.