Kwa ile dialogue ya TCD, tuna watu wenye fikra zenye walakini

Escrowseal1

JF-Expert Member
Dec 17, 2014
4,432
4,222
Nikifikiri Taifa lilivyo na issues complex kwa huu utawala wa sasa TCD wanakuja na dialogue ya kuwabebea ma bag mabwanyenye ili kupata uongozi ndani ya nchi ni dhahri kuwa tuna jamii iliyokuwa na thinking zilizo na mashaka. binafsi nadhani uongozi wa nchi umeua Elimu tunayoihitaji kama jamii.

Tunahitaji kuanza moja na ninashauri wizara ya Elimu i push debate zianze kwenye mashule la sivyo critical thinking inakufa Tanzania.

Viongozi hawatumii critical thinkers anymore na vijana wa Taifa hili hawasumbui bongo at all. nini Tatizo kwenye hili Taifa. nchi kwa sasa in mambo mazito TCD wanajadiri kupata ubunge. mjadara had no effect for whatsoever TCD mmetia aibu. Halafu mnaning'iniza bendera ya Marekani . kila sehemu kwa sasa ni dili dili tu.

Sina mengi sana ila to me kama nchi tunayo hali mbaya. The paralysis of this country starts from somewhere on top ila inauma sana sana.
 
Sehemu kubwa ya wanasiasa wa upinzani ni karikenye wa CCM.

Usitegemee fikra tunduizi kutoka kwao. Wapinzani ni wachache mno
 
Nikifikiri Taifa lilivyo na issues complex kwa huu utawala wa sasa TCD wanakuja na dialogue ya kuwabebea ma bag mabwanyenye ili kupata uongozi ndani ya nchi ni dhahri kuwa tuna jamii iliyokuwa na thinking zilizo na mashaka. binafsi nadhani uongozi wa nchi umeua Elimu tunayoihitaji kama jamii

Tunahitaji kuanza moja na ninashauri wizara ya Elimu i push debate zianze kwenye mashule la sivyo critical thinking inakufa Tanzania.

Viongozi hawatumii critical thinkers anymore na vijana wa Taifa hili hawasumbui bongo at all. nini Tatizo kwenye hili Taifa. nchi kwa sasa in mambo mazito TCD wanajadiri kupata ubunge. mjadara had no effect for whatsoever TCD mmetia aibu. Halafu mnaning'iniza bendera ya Marekani . kila sehemu kwa sasa ni dili dili tu .

Sina mengi sana ila to me kama nchi tunayo hali mbaya. the paralysis of this country starts from somewhere on top ila inauma sana sana.
Bendera ya mfadhiri
 
Nikifikiri Taifa lilivyo na issues complex kwa huu utawala wa sasa TCD wanakuja na dialogue ya kuwabebea ma bag mabwanyenye ili kupata uongozi ndani ya nchi ni dhahri kuwa tuna jamii iliyokuwa na thinking zilizo na mashaka. binafsi nadhani uongozi wa nchi umeua Elimu tunayoihitaji kama jamii.

Tunahitaji kuanza moja na ninashauri wizara ya Elimu i push debate zianze kwenye mashule la sivyo critical thinking inakufa Tanzania.

Viongozi hawatumii critical thinkers anymore na vijana wa Taifa hili hawasumbui bongo at all. nini Tatizo kwenye hili Taifa. nchi kwa sasa in mambo mazito TCD wanajadiri kupata ubunge. mjadara had no effect for whatsoever TCD mmetia aibu. Halafu mnaning'iniza bendera ya Marekani . kila sehemu kwa sasa ni dili dili tu.

Sina mengi sana ila to me kama nchi tunayo hali mbaya. The paralysis of this country starts from somewhere on top ila inauma sana sana.
Debet zenyewe wanafunzi wana gawanywa pande mbili kisha wanaambiwa nyinyi wa huku teteeni ushoga na nyinyi wa huku pingeni ushoga hivyo kuto kumjenga mtu kutetea kile anacho kiamini binafsi maana unalazimika kutetea ushoga hata kama utaki ...huo ndiyo mfumo wa debet nilivyo ushuhudia mashuleni toka zamani
 
Debet zenyewe wanafunzi wana gawanywa pande mbili kisha wanaambiwa nyinyi wa huku teteeni ushoga na nyinyi wa huku pingeni ushoga hivyo kuto kumjenga mtu kutetea kile anacho kiamini binafsi maana unalazimika kutetea ushoka hata kama utaki ...huo ndiyo mfumo wa debet nilivyo ushuhudia mashuleni toka zamani
nikikumbuka debate za enzi zangu roho inaniuma ,hawa vijana wale chips tu hakuna namna
 
Back
Top Bottom