Wengi wamejikita katika kitendo cha Maalim au CUF Taasisi kujiunga na ACT - Wazalendo na kusahau hukumu ya ajabu katika historia ya Tanzania. Ni kwamba, Jaji kasema kwa vile Msajili ana madaraka hata ya kukifuta chama, basi madaraka ya kuamua mambo ya ndani ya vyama anayo na kwa maana hiyo hiyo alikuwa sahihi kumtambua Lipumba hata kama chama kilishamfuta uanachama.
Kwa amaana hiyo, msajili anayo mamlaka ya kumtambua Dk. Slaa kama Katibu Mkuu wa CHADEMA.
Kwa amaana hiyo, msajili anayo mamlaka ya kumtambua Dk. Slaa kama Katibu Mkuu wa CHADEMA.