luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Kwa kipindi tofauti tofauti Jumuiya hii ya Africa ya Mashariki imekuwa inakumbana na mambo ya Ajabu ajabu kutoka kwa viongozi
Awali miaka ya 2005's -2010's Tilipitia kile kilichooitwa Coalition of Willingness ambapo hapa kidogo baadhi ya wana jumuiya walitaka kumtenga Tz, hatukukaa sawa Rwanda na Tz wakapishana Kauli na kuharibu mahusiano baina ya majirani hawa, Kenya na Tz mikwaruzano yao haitabiriki,
Ameibuka Kijana wa M7 ambae amekuja na kauli tatanishi kupitia tweets zake , za kuibamia Nairobi, kitendo kile sio kitwndo cha mzaha kabisa ukizingatia ni kauli iliyotoka kwa moja ya viongozi wa juu wa jeahi la Jlinzi wa taifa la Uganda, na sasa ndio Jenerali .
.kisha baada ya kauli hile Baba yake ana mpandisha Cheo kijana wake na kump cheo cha Jenerali ... Sijui kama mambo yapo sawa na sijui kama jambo hili lina leta afya ndani ya Jumuiya ? Ni wazi Ruto ana paswa awe makini sana na huyu kijana