Kwa hizi tweets za mtoto wa Museveni ni viashiria vya wazi kuwa shirikisho la siasa ndani ya EAC ni ndoto

Hofu yangu asije kuingiwa na pepo la kumjaribu baba yake maana kuna sehemu amezungumzia mapinduzi
Generali Mushoboozi Keinarugaba Mseven ndo atamuondoa Mseven a k a Mpenkoni.Kyeizile,kyeizile nki chund 'ebinyo.Kyanzalil'omwana,Omwana namweta Mugarula,,,Mpenkoni,mpenkoniii You need another rappp! Yes ,Seboooo.
 
Back
Top Bottom