'Kwa hisani ya watu wa Marekani!'

Dec 5, 2011
78
93
Hivi Wana JF huwa mnajisikiaje mnapoona au kusikia matangaza ya yanayotolewa yanoyoelezea umuhimu wa kuosha mikono, kutumia chandarua, kunywa pombe kwa kiasi, kuosha uso au kuwa na mpenzi mmmoja kwenye radio,tv,mabango, etc Yakimamalizia na kibwagizo ' tangazo hili limeletwa Kwa hisani ya watu wa Marekani!'
Je Ni kweli miaka hamsini ya Uhuru tunahitaji kuomba wazungu waje wakatufundishe/kutupa msaada wa matangazo ya umuhimu wa kunawa mikono kabla ya chakula ,etc?
Ni lini lini tutaweza kufikia Kiwango cha kuwa na vitu kama mashine DNA Kwa ajili ya technology za Kama Genetic engineering, viwanda vya electronic etc. Ningefurahi sana Kama misaada ingekuwa ya vitu ambavyo ni new technology na sio matangazo ya umuhimu wa kutumia chandarua jambo ambalo lipo ndani ya uwezo wetu!
 
Eti wanasema "WAMETHUBUTU WAMEWEZA NA WANASONGA MBELE" Sijui ni kwa yapi. Hata mbu tunamuacha aje hadi ndani na tunakubali kushauriwa eti "chandarua ndio suluhisho"!!
 
Kwa suala la muda wa serikali kuwa na uwezo wa kujiendesha yenyewe, ni mpaka miaka elfu ipite.
 
Watu bwana, mtu unapewa msaada alafu unataka kupanga upewe msaada wa aina gani. Sawa na wale wanaokaribishwa majumbani kwa watu alafu wanauliza kwanini haikupikwa nyama badala ya samaki.

Kama mnataka vitu vyenye manufaa zaidi nunueni.
 
Ni lini lini tutaweza kufikia Kiwango cha kuwa na vitu kama mashine DNA Kwa ajili ya technology za Kama Genetic engineering, viwanda vya electronic etc. Ningefurahi sana Kama misaada ingekuwa ya vitu ambavyo ni new technology na sio matangazo ya umuhimu wa kutumia chandarua jambo ambalo lipo ndani ya uwezo wetu!

Political correctness is not in my vocabulary so I'll give it to you straight and whoever disagrees I'm game to go toe to toe, blow for blow, head to head, and pound for pound and round after round with him or her.

The bottom line is we don't have ingenuity. The DNA machine as you call it was invented. It didn't drop from heaven (wherever that is).

Technological advancements also are a result of ingenuity. So is genetic engineering and a whole bunch of other things. And yes, there is nothing in this world like American ingenuity. Yes I say it. There is nothing in this world like American ingenuity. Who disagrees?

If we can't even write our own laws in our own language what would make one even think we can make a mark in science and technology? Simply put, we don't have what 'it' takes. That 'it' is what is lacking.

So until then, we will continue to be on the receiving end. Like it or not, it's just too bad and too sad.
 
Political correctness is not in my vocabulary so I'll give it to you straight and whoever disagrees I'm game to go toe to toe, blow for blow, head to head, and pound for pound with him or her.

The bottom line is we don't have ingenuity. The DNA machine as you call it was invented. It didn't drop from heaven (wherever that is).

Technological advancements also are a result of ingenuity. So is genetic engineering and a whole bunch of other things. And yes, there is nothing in this world like American ingenuity. Yes I say it. There is nothing in this world like American ingenuity. Who disagrees?

If we can't even write our own laws in our own language what would make one even think we can make a mark in science and technology? Simply put, we don't have what 'it' takes. That 'it' is what is lacking.

So until then, we will continue to be on the receiving end. Like it or not, it's just too bad and too sad.

pointi nzuuri but
wrong language....iweke kwa kiswahili....
 
Na kukuelekeza njia overtake, kata kushoto, subiri wavuka kwa miguu wapite

hujui magari ya sasa hivi new version lazima uwe na Asistant driver

Hahahaha. . .
Na station ya Redio/CD unachagua wewe?
Unafungua vioo wakati AC iko ON?Kama sijakushusha pale Metro usiku.
 
Na kukuelekeza njia overtake, kata kushoto, subiri wavuka kwa miguu wapite

hujui magari ya sasa hivi new version lazima uwe na Asistant driver

Nakushusha nakwambia.

Alafu Atown watembea kwa miguu wanakuaga na mukusudi kweli, wanaona gari hilo hapo na bado wanavuka.
 
Nakushusha nakwambia.

Alafu Atown watembea kwa miguu wanakuaga na mukusudi kweli, wanaona gari hilo hapo na bado wanavuka.

acha dharau kwa sisi watembea kwa miguu.kwenye zebra cross mbona hamsimami?
 
acha dharau kwa sisi watembea kwa miguu.kwenye zebra cross mbona hamsimami?

Hahahahaha. . . kesho ntawahi stendi nikae mbele ili niwe namshtua dereva wa kifodi asimame kukiwa na watembea kwa miguu. Ila ukweli watu wanafanyaga makusudi kabisa, hata kukazana hawakazani. Wanatembea kama konokono.
 
Ukinishusha naondoka na mlango au nang'oa honi
afteral, am doing you a favor kukuomba lifti
mie mzuri, huoni unywele huu

Nakushusha nakwambia.

Alafu Atown watembea kwa miguu wanakuaga na mukusudi kweli, wanaona gari hilo hapo na bado wanavuka.
 
Back
Top Bottom