Kwa hili serikali ya CCM imeshindwa kabisa

Hakikwanza

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
4,034
1,003
Ndugu zangu hii serikali ya tz chini ya ccm inatupeleka jehanamu ya moto, kutokana na jinsi isivyokuwa makini ktk mambo mengi muhimu ya kulijenga taifa hili. Mfano dhahili ni ajira kwa vijana, watu kibao waliohitimu vyuo na shule mbali2 hawana kazi wapo milioni kadhaa mitaani wanarandaranda tu. Hii inatokana na serikali kuwa pumbafu na yakifisadi,hivyo imeshindwa kutengeneza fulsa kwa wananchi wake, kumbuka wahitimu wanazidi kila kukicha wakati sekta mbali2 zikididimia na kufa. Je watanzania wenzangu tutafika?
 
Back
Top Bottom