Kwa hili, secretariet ya ajira Tanzania nimewakubali! Hongera sana!

Angalia kujisifu kwako kusijekuwa majuto baadaye. Ukipata shukuru Mungu maana ndie atoaye riziki.
 
Mkuu wewe ni mmoja wa wahanga wa kukosa ajira nini? maaana namna unavoponda ni dhahiri kuwa umeshakuwa frustrated.

Kuongea ukweli nikujisifu? au kwasababu tu kataja mshahara wake kuwa ni mkubwa, basi hapo unamwona kuwa kajisifu??
Angesema kuwa analipwa sh 180,000/= hapo usingeona anajisifu. Ila sababu figure ni kubwa, wivu wako unafanya uone anajisifu.
Acha wivu usio na tija, pambana na maisha
SIO WIVU mzee wa freeqence ,mm nataka kumkumbusha kushukuru Mungu kwanza kwa kumuwezesha!ishu ya mshaara sikitu sana!
alafu nahisi wewe fm stereo ni binti maana unagubu kama upo kwenye sikuzo!
 
ukianza kutajiana mishahara hapa nadhani utajiona wewe kilaza sasa mm ninayepata 3.2 kwa mwezi nalipa msaidizi wangu na kwa mwaka napata karibu 30m sasa nilishaachana na ajira na umri wangu 25years na nina Ka degree tu nisemeje . fanya kazi uondoke kwenye utumwa huko
 
Kama na kama kweli hukushikwa mkono Mungu akusaidie katika ajira yako hiyo na kama kuna chembechembe zozote za kujuana wakati umekuja kujisifia mbele ya umma kwamba hakuna kitu kama hicho kazi yako haitakuzalishia matunda kamwe
 
Its true jamani hata mie rafiki yangu mmoja amepata kupitia sekretarieti na hamjui mtu , analipwa 1.3 kapata atomic energy comission arusha, sekretarieti wamejitahidi kilichomsaidia HADI AKAPATA NI GPA
YAKE inawezekana mkuu pia amefaulu vizuri
 
wapi na lini na kitengo gani ndani ya serikali hii ya tanzania kwa mwanafunzi fresh frm school anaazia na mshahara wa 1.8m. kama kupata kazi umepata lakini huo mshahara kawadanganye wengine sio humu jamvini.
 
Nadhani huyu jamaa Kikomeloallishawahi kuleta haja yake HII HAPA mwaka jana miezi kama hii, Mungu kamsikia. Ambao hamkubahatika msiiponde tume vibaya sababu tu hukubahatika mwaka huu. kuwa mvumilivu kama ndugu huyu.
mkuu FM stereo nakupongeza sana kwa kufuatilia mambo!, ni kweli huyu jamaa alipost hii kitu huko, na nimekwenda kusoma alichoandika na hapa NAKUBALIANA na mtoa uzi kwa elimu aliyokua nayo ni KWELI kulipwa gross salary ya 1.8M kwa mwezi IT IS POSSIBLE!!, jamaa ana masters kali na CPA juu!. ila kidogo amechanga watu kwa kusema "he is fresh from school" (maana yake katoka shule na hana uzoefu wowote) watu wakijua kwamba kamaliza chuo tu na kupata kazi immediately kumbe KASOTA zaidi ya mwaka mmoja na kidogo!. kwa sasa tume ya ajira wapo kitaaluma zaidi maana interview zao zinakufanya urudi kujibrashi na uliyosoma shule, namaanisha kwenye mtihani wa mchujo hawaangalii una uzoefu wa miaka mingapi ila wanaangalia kichwani kichwa kinachaji vipi!!
 
Last edited by a moderator:
Its true jamani hata mie rafiki yangu mmoja amepata kupitia sekretarieti na hamjui mtu , analipwa 1.3 kapata atomic energy comission arusha, sekretarieti wamejitahidi kilichomsaidia HADI AKAPATA NI GPA YAKE inawezekana mkuu pia amefaulu vizuri
hahahaaa, soledad sasa tunaanza kuona umuhimu wa kua KIPANGA darasani, watu walizoea kuona GPA kali hazihitajiki kwenye taaluma nje ya uhadhiri wa vyuo vikuu, sasa mpaka kwenye kada zingine GPA zitaanza kua dili.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu GP kwa kweli huyu ndugu watu wengi walimshauri mambo mengi sana,,,sasa sidhani kama kwa hali ya kawaida kama alikuwa ide tu.
Hata kwa kazi ya kujitolea tu kwa vimiezi kadhaa, nadhani atakuwa alijiweka mbali, hivyo kwa mshahara huo, ni sawa sawa yake.
 
Last edited by a moderator:
mkuu FM stereo nakupongeza sana kwa kufuatilia mambo!, ni kweli huyu jamaa alipost hii kitu huko, na nimekwenda kusoma alichoandika na hapa NAKUBALIANA na mtoa uzi kwa elimu aliyokua nayo ni KWELI kulipwa gross salary ya 1.8M kwa mwezi IT IS POSSIBLE!!, jamaa ana masters kali na CPA juu!. ila kidogo amechanga watu kwa kusema "he is fresh from school" (maana yake katoka shule na hana uzoefu wowote) watu wakijua kwamba kamaliza chuo tu na kupata kazi immediately kumbe KASOTA zaidi ya mwaka mmoja na kidogo!. kwa sasa tume ya ajira wapo kitaaluma zaidi maana interview zao zinakufanya urudi kujibrashi na uliyosoma shule, namaanisha kwenye mtihani wa mchujo hawaangalii una uzoefu wa miaka mingapi ila wanaangalia kichwani kichwa kinachaji vipi!!

Mkuu GP kwa kweli huyu ndugu watu wengi walimshauri mambo mengi sana,,,sasa sidhani kama kwa hali ya kawaida kama alikuwa ide tu.
Hata kwa kazi ya kujitolea tu kwa vimiezi kadhaa, nadhani atakuwa alijiweka mbali, hivyo kwa mshahara huo, ni sawa sawa yake.
 
ww coz umepata ndo maana unaona wako fair,bt ucngepata tungesikia mengine hapa!.....nway hongera,c bado tunagangamala
 
Samahani mkuu, umepata barua ya ajira tayari? mie nipo dar na kwenye sanduku leo jumamosi haikuwepo naomba unijulishe kama umepata na lini tarehe ya kuripoti.
 
Nina uhakika kazi uliyopata ni ya kuitetea secretarieti ya ajira tz kwenye mitandao! Na umeongeza 0 moja mbele,mshaara wako ni 180,000/= na umeambiwa targets uwe unarusha posts na sredi zao sizizopungua 20 kwa siku na wamekununulia na Simu ya kulogin.
da mkuu umenivunja mbavu kwani umeeleza ukweli tupu
 
Back
Top Bottom