Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,309
- 5,266
Yani ndio maana tunasuasua sana kwenye maendeleo kama taifa na nyanja muhimu kama elimu na afyaAmetenda KOSA LA JINAI... Ameghushi vyeti na kutumia utambulisho BATILI..
Kama unaona ni ushabiki basi, tunamtaka atoke hadharani athibitishe vinginevyo kama walivyofanya wengine waliokumbwa na tuhuma kama hizo..
Aseme yeye sio DAUDI ALBERT BASHITE???????
Kwa sababu watz wengi tuna umaskini wa fikra,hatujui kufikiri kabisa tuna akili mgando kupita kiasi
na wapo watu wengi sana wasioliona kosa mpaka muda huu
Wanachanganya qualification za kuwa RC na la vyeti batili