Kwa hili la ipp, nimevumiliaaa na sasa nimeshindwa.......napasua jipu!

Ingiza Pole Pole

Mmmh! JF kiboko hata kama umenuna utacheka bila kupenda. Haya Mi napita tu, leo j'pili niko kiroho zaidi. Uliyeuliza swal ukipata jibu utujuze na wengine.
 
Inasemekana kuwa, hapo zamani kulikuwa na taasisi iliyoitwa Independent Political Party (ndio chanzo cha kutumia neno 'IPP'), nadhani watu wa kilimanjaro wanaijua. Mengi aliamua kuiga hilo jina. Ila baada ya kupata uhuru Mengi ailiamua IPP iendelee kutumika ila isiwe na kirefu chake. Hakuna kirefu cha IPP kama ilivyo CRDB bank.
 
Nashukuru mkuu nami umenifumbua macho. Pia comment zote hapo juu wameishia kukandia japo hawajui
 
nawapuza wajinga.................we muda woe huo ulishindwa kutatuta hilo? shida ya kukwepa umande

Darasa ulilosoma wakakufundisha kirefu cha IPP ni lipi? Muwe na busara, ukikaa kimya wenzako wakajibu utaumia au ndiyo watuonyesha upumbavu wako?

MXIIIIIIIIIIIIII
 
Nashukuru mkuu nami umenifumbua macho. Pia comment zote hapo juu wameishia kukandia japo hawajui

Ur welcome Shine, hao waliokandia, wengine wanafanya tu utani...chukulia kawaida tu. :)
 
Back
Top Bottom