Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 9,621
- 14,640
Wana jamii, heshima yenu habari za siku maana nilikuwa jela ndio nimerudi,
kuna jambo hapa linanitatiza hasa katika mambo ya ndoa na mahusiano
inaeleweka kabisa katika mapenzi/mahusiano mwanammke ndio mwenye wivu kuliko mwanamme kwa kiwango kikubwa
Na katika dunia yetu kuna baadhi ya dini zinaruhusu kuoa mwanamke zaidi ya mmoja
hivi kwa mfano hizo dini zingeruhusu mwanamke na yeye kuolewa na zaidi ya mwanamme mmoja ingekuwaje?
na sisi wanume huwa tunakuwa na hasira na maumuzi magumu tunapogundua kuwa wapenzi/wake zetu wana toka nje ya maahusiano
Swali langu!
Je sisi wanaume tungeweza kuvumilia kama mwanamke angeruhusiwa kuolewa na zaidi ya mme mmoja?
kwa upande wa wanawake ambao wanaishi na mme ambae ameowa mke zaidi ya mmoja hali iko vipi?
naomba kusikia kutoka kwenu wadau, tuongee hali halisi