Kwa hili kuna utata kidogo

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,482
14,351
Wana jamii, heshima yenu habari za siku maana nilikuwa jela ndio nimerudi,
kuna jambo hapa linanitatiza hasa katika mambo ya ndoa na mahusiano
inaeleweka kabisa katika mapenzi/mahusiano mwanammke ndio mwenye wivu kuliko mwanamme kwa kiwango kikubwa
Na katika dunia yetu kuna baadhi ya dini zinaruhusu kuoa mwanamke zaidi ya mmoja
hivi kwa mfano hizo dini zingeruhusu mwanamke na yeye kuolewa na zaidi ya mwanamme mmoja ingekuwaje?
na sisi wanume huwa tunakuwa na hasira na maumuzi magumu tunapogundua kuwa wapenzi/wake zetu wana toka nje ya maahusiano
Swali langu!
Je sisi wanaume tungeweza kuvumilia kama mwanamke angeruhusiwa kuolewa na zaidi ya mme mmoja?
kwa upande wa wanawake ambao wanaishi na mme ambae ameowa mke zaidi ya mmoja hali iko vipi?
naomba kusikia kutoka kwenu wadau, tuongee hali halisi
 
Wewe sasa unataka kuleta ugonvi wa kidini hapa,..si ungeweza tu kuwafuata wenye dini husika au wale walio kwenye ndoa za mitala na kuwauliza.
Anyway....subiri waje wahusika.
 
We can't go against Nature Bana "hata Jogooo utamkuta na mitetea mingi" ila huwezi kuta "Mtetea mmoja majogoo matatu" lazima zipigwe tu hapo
 
Hiyo isingekuwepo na ndo maana haipo. Haukuwa mpango na si mpango wa Mungu Mwanamume kutawaliwa na Mwanamke. Na haya mambo ya usasa unayoyaona sasa hivi ndo yanasababisha vurugu katika jamii mbalimbali. Hivyoisingekuwepo na haitakuwepo milele, ukiona inaanza ujue ndo kihama kinakuja.
 
Wanaume kiasili ni leaders,hivyo hata swala la wake wengi haliwasumbui,kitu ambacho kwa wanawake kama haiwezekani.
 
Fanta face si ugeuke? (kwenye avata yako)
Ok tuendelee na mada mwanawane.....
 
Wanaume kiasili ni leaders,hivyo hata swala la wake wengi haliwasumbui,kitu ambacho kwa wanawake kama haiwezekani.
Kula tano m2 wangu, ikitokea wanawake wakawa ma-polygamists hapo ndo mjue ulimwengu utakuwa umehalalisha umalaya moja kwa moja kwa nchi zote.
 
Wana jamii, heshima yenu habari za siku maana nilikuwa jela ndio nimerudi,
kuna jambo hapa linanitatiza hasa katika mambo ya ndoa na mahusiano
inaeleweka kabisa katika mapenzi/mahusiano mwanammke ndio mwenye wivu kuliko mwanamme kwa kiwango kikubwa
Na katika dunia yetu kuna baadhi ya dini zinaruhusu kuoa mwanamke zaidi ya mmoja
hivi kwa mfano hizo dini zingeruhusu mwanamke na yeye kuolewa na zaidi ya mwanamme mmoja ingekuwaje?
na sisi wanume huwa tunakuwa na hasira na maumuzi magumu tunapogundua kuwa wapenzi/wake zetu wana toka nje ya maahusiano
Swali langu!
Je sisi wanaume tungeweza kuvumilia kama mwanamke angeruhusiwa kuolewa na zaidi ya mme mmoja?
kwa upande wa wanawake ambao wanaishi na mme ambae ameowa mke zaidi ya mmoja hali iko vipi?
naomba kusikia kutoka kwenu wadau, tuongee hali halisi
Pole kwa kifongo lakini si una-ID zaidi ya 17...lol
niliwahi kusikia wamasai wanaruhusu mwanamke kuchakachuliwa na mwanaume mwingine, cha msingi kama jamaa anaendelea achomeke mkuki nje ili akija mwenye mji ajua kuna jamaa anaendelea, hivyo na yeye akatafute au asubiri jamaa atoke...labda kama wapo hapa watuambie,
 
...Je sisi wanaume tungeweza kuvumilia kama mwanamke angeruhusiwa kuolewa na zaidi ya mme mmoja?
kwa upande wa wanawake ambao wanaishi na mme ambae ameowa mke zaidi ya mmoja hali iko vipi?
naomba kusikia kutoka kwenu wadau, tuongee hali halisi

Inategemea unalitizima vipi suala hili....mbona wanaume 'tunabeba' tu machangu doa huko barabarani wakati 'tukijua' kabisa kuna mwanaume mwingine ametoka 'kuhudumiwa' na huyo changu muda sio mrefu? Vipi wale wanaopiga 'mtungo' (gang rape)? vipi wanaochukua wake za watu?
 
Tusubiri hizo dini ziruhusu haya mambo ya mwanamke kuoa then tutaweza kucomment
 
Duh yani mie huyu, nimewowa wanaume wawili, nawaambia wajipangie zamu, dunia lazima iwe imefikia kikomo
 
sababu ya waislamu kuoa wake wengi nikwamba unajua hawa wenzetu waislam wanajua kuwa wako wachache duniani hivo hii ni sera yao ili waweze kucompete na wakristu na wakaona dawa ni kuoa wake wengi ili wazaliane kwa wingi kuongeza idadi ya uislam ulimwenguni na kama ujuavyo mtoto hufata dini ya baba na si ya mama ivo wanaamini kuwa kwa kufanya ivo idadi ya waislam inaongezeka na ndomana huwa wanapongezana sana endapo muislamu ataoa mkristo kwa vile wanakuwa wameongeza idadi yao lakini ole wewe mwanaume wa kikristo utangaze ndoa na binti wa kiislamu utaona vipingamizi vyake so kama waislamu mtaniona mdini mtanisamehe lakini huo ndo ukweli ulivyo.
 
Hahahahahaaha LOOK
 
Mawazo mengine bana!Vitu vyote vipo kama vilivyo coz vimewekwa hivyo na alieviweka,ingekuwa tofauti navyo vingekuwa tofauti!
 
Back
Top Bottom