Kwa hili dk slaa ujatutendea haki

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
heshima mbele wakuu nikiangalia yalotokea ivorycoast maraisi 2 kujiapisha na kuunda mabaraza 2 ya mawaziri ndani ya nchi moja kweli afrika kuna vituko na wamechoka na serikali ya mseto.

kwa mantiki hyo ata dr slaa kumbe angeweza kufanya them same na mambo yakawa mswano tu kuliko kuvumilia wizi wa kijinga jinga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom