Kwa heshima na taadhima naomba ulipokee hili To yeye

Nyota wapi washaona singlemom bas ndiyo pakumwagia uji....nami nimechoka na wapenz wa jf maana wote wapo Dar upwiru unaniua kusubiriana
Tatizo umekaa zako huko na rimoti yako kazi yako kuwatia nyege wala huwapi mwisho wa siku wanakuja kuweweseka huku
 
Hivi hua hamnielewi nikisema hili ni goma langu? Mpaka siku nimsimike mtu bisu la koromeo ndo mtaacha huu ujinga! Mbav kabisa...
 
Naomba niwie radhi kama nitakuwa nakukosea kwenye, wala sitaki kuficha toka nimejiunga humu kuna member anaita To yeye nahisi ananigusa mno.

Nahisi kupata hisia ima ninapoliana jina lake ama comment yake, natamani mno kumjua na pengine apate kujua yupo ambae amegusa hisia zake.

Na pengine kama namkosea anisamehe, mimi ni wale katika wanaosema midomo yao ni mizito kwa kutojua wapi naweza kuanzia kuwasilisha kilichokuwa moyoni mwangu.
To yeye unaguswa huku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom