Kwa haya Majibu ya Israel, Watafungwa miaka mingi sana hawa jamaa gerezani

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Ritz ulikuwa unatuletea mwendelezo wa kesi ya kuwafunga israel wote iliyokuwa ikiendelea South Africa? Vipi umepotea tena? Unakata tamaa mapema dogo. Tulisema hakuna kulala. Naona siku hizi umeshalegea kabisa huna moyo tena. Turudi kuliamsha.

Malaria 2 nawe umelege legea tena. Shida nini? Gaza inaabomolewa Isis wapo, al qaeda wapo, hamas wapo, Is wapo na sisi tupo. Why? Tukapambane wajameni.

Msome huyu waziri kafiri, yahudi jeuri.... Anatuchana tu kibabe. Ritz alisema ile kesi south africa waisrael watafungwa wote nchi itabaki haina watu watapewa wapalestine. Naona naye kapotea

Screenshot_2024-03-18-08-05-17-939_com.instagram.android~2.jpg
 
Ritz ulikuwa unatuletea mwendelezo wa kesi ya kuwafunga israel wote iliyokuwa ikiendelea South Africa? Vipi umepotea tena? Unakata tamaa mapema dogo. Tulisema hakuna kulala. Naona siku hizi umeshalegea kabisa huna moyo tena. Turudi kuliamsha.

Malaria 2 nawe umelege legea tena. Shida nini? Gaza inaabomolewa Isis wapo, al qaeda wapo, hamas wapo, Is wapo na sisi tupo. Why? Tukapambane wajameni.

Msome huyu waziri kafiri, yahudi jeuri.... Anatuchana tu kibabe. Ritz alisema ile kesi south africa waisrael watafungwa wote nchi itabaki haina watu watapewa wapalestine. Naona naye kapotea

View attachment 2937946

View: https://www.youtube.com/watch?v=cNQf3p7Q5Ow
 
Katika familia huwa kuna sheria/taratibu ambazo zinawahusu watoto tu labda kwa sehemu na mama lkn hazimhusu baba.
 
Back
Top Bottom