Kwa hali ya Corona na kimbunga Jobo, nimeamini Tanzania inalindwa na Mungu

Kila sehemu hai iko kama ulivyoelezea mkuu, hofu ya corona hakuna. Magufuli alikuwa sahihi. Wangetufungia sasa hivi hali ingekuwa vipi?

Wenye akili mbovu wanazusha eti magufuli alikufa kwa corona, je kama ni coron ni zaidi mwezi tangu afariki je hiyo corona wanayoisema ikulu mbona haijamuua mwingine?

Tofauti na ikulu, sehemu nyingine hali ikoje?
Maana hata kama hawatangazi lakini watanzania hawawezi kukosa taarifa hasa za corona, je baada ya magufuli kufa corona imeisha tanzania?
Binafsi sina uakika kama ipo au haipo, lakini najiuliza vip mbona kimya? Inamaana corona inakuja na kuondoka kwa muda?

Akili za kuambiwa ..........
Mkuu mimi nina valid and reliable sources kabisa toka kwa viongozi wa dini waliomuombea dakika zake za mwisho..... JPM alifariki kwa CORONA and I'm very confident with this!! Hilo tatizo la moyo ni secondary tu ila iliyo trigger ni mfumo wa upumuaji.

By the way mashine yake ilisha expire toka 2018 so kama kumuua ingefanya hivyo toka huo mwaka!!
 
Kama corona mbona tangu afe hakuna mwingine alokufa?au corona ilikuja kwa ajili yake kwamba akifa yeye corona inaondoka tz?

Na hao viongozi unaowasema kama walikuwa nae mpaka dk za mwisho je wao bado wako hai? Mbona hakuwaambukiza?

So jpm kaondoka na corona ? mbona sisikii tetesi zozote za corona tangu afariki jpm?

Na hiy mashine kama ii expire 2018 je alikuwa akiishi vipi sasa for 2yrs baada ya expire? Nyie watu nyie??

Akili za kuambiwa........
 
Ni swali zuri sana mkuu.Mimi niko Morogoro.Sisikii ambulance zikipita na wagonjwa wa Corona;sioni jirani anayeumwa na Corona;wala jirani yangu Daktari sisikii akilalamika kwamba wamezidiwa na wagonjwa wa Corona.

Tukienda hospitali kuangalia wagonjwa,things are as normal as they can possibly be,wala hatuoni kwamba hospitali zimezidiwa na wagonjwa, kila kitu ni kama zamani tu.Mtaani sioni watu waliovaa barakoa.......!What is happening here.

This is scientific misinformation and fraud.I call it "a scientific covid con game!" Watu wanasikiliza udaku kwenye vijiwe vya BBC,CNN,Aljazeera, CGTN na stooges wao ITV,Azam nk. halafu wanasambaza sumu ya uongo kwenye jamii ambayo inaleta hofu isiyo ya lazima,mbaya sana.

The so called C-19 disease is a scandamic,it is not a pandemic.Watu watafute taarifa sahihi from uncompromized sources,sio from compromised sources kama BBC,Aljazeera na vikaragosi vyao ITV,Azam,Clouds nk.
Kama upo Dar naomba nikutembeze kwa watu naojua wanaugua Covid 19 mimi binafsi wazazi wangu wote wawili waliugua, rafiki zangu wa inner circle wawili, majirani zangu immediate waliugua wamama wawili na kijana mmoja!!

Naomba uende pale Aga Khan ER department simama reception afu karopoke hili..... Ukirudi ukiwa hai ww ni kidume.
 
Kama corona mbona tangu afe hakuna mwingine alokufa?au corona ilikuja kwa ajili yake kwamba akifa yeye corona inaondoka tz?

Akili za kuambiwa........
ile ni wave ili peaka February/March so waliokufa walienda waliobaki ndio wamepona.

Kma umemsikia Mama Samia ameeleza hilo kuwa issue sio corona bado ipo au lah issue ni kwamba wave ikirudi inapukuchua ghafla so lazma ujiandae nayo wakati wote.

Kanisani kwetu tu February tumezika seniors wengi sana tena watu muhimu sana. My both parents wameponea ICU so nime prove kwa macho yangu huu ugonjwa ni real
 
Halafu either kuna tatizo katika vyombo vya habari au katika system za kutabiri(forecasting) majanga duniani.Nakumbuka CNN iliripoti kuwa Tanzania itapatwa na kimbunga ambacho haijawahi kukipata tangia miaka 80 iliyopita.Sasa najiuliza,ina maana vituo vya kufanya forecasting ya hali ya hewa vilishindwa kujua kuwa hicho kimbunga hakitafika Tanzania?

Ni sahihi kuwa wanasayansi wa kufanya utabiri wa hali ya hewa hawana uwezo wa kujua kwamba kutokana na sababu fulani fulani kimbunga fulani hakiwezi kufika sehemu fulani?Au CNN ndiyo wana tatizo katika kuripoti taarifa zao?
Sorry to say this ila CNN ni was**nge sana.

Wanatumia advantage ya kuwa wako credible kutisha na ku undermine African countries.

Pumbav zao.
 
Watanzania tunapaswa kumshukuru sana Mungu kwa kuwa alitupatia Rais Magufuli aliyemtanguliza Mungu mbele katika mapambano dhidi ya corona! Waliojifanya kutanguliza sayansi mbele wote waliangukia pua!! Magufuli alimwamini Mungu kutuokoa na corona hadi pumzi yake ya mwisho! Tusitake kufanana na wengine!!
Marekani hawawezi kujifanya kuwa wanaweza kutusaidia wakati wameshindwa kujisaidia wenyewe! Tumesaidiwa na Mungu!
Hao unaowakejeli wasingevumbua ARV na PrEP na kuwapa bure mngekuwa mmekufa wangapi?

Bila chemotherapy/Radiotherapy zao mngekua mmekufa wangapi na saratani.... Mind you kila mwaka TZ watu zaidi ya elfu 50 wanaugua kansa!!

Mungu ni wa wote na wamepata chanjo hku nyie mmekalia kejeli tu. Embu ingia Reddit uone kejeli alizopewa JPM, kwamba licha ya kumtegemea Mungy Covid imempeleka? Btw JPM aikua malaya vile hvi Mungu anasikiliza maombi ya muasherati?
 
Forecasting sio static ni agile.... Yaani unaweza ona mvua inakuja ila ndani ya sekunde ikahama. Same to Kimbunga cha mwaka jana baada ya Idai ilipaswa kitue Mtwara ila kikapinda kuelekea msumbiji.

Nadhani ukaribu na Equator ndio umeokoa hili kuliko wenzetu madagascar na msumbiji ambao hvi vimbunga huwapata kila wakati.

Mungu ni wa wote ina maana kwenye matetemeko kma Japan hakuna Mungu? Huko msumbiji hakuna wenye dini? Tuache kejeli za ajabu.
Ukiachia mbali MUNGU,kuna kitu kina Mwalimu Nyerere na wazee wamekiweka kama kinga ya Nchi na mipaka yake ....
 
ile ni wave ili peaka February/March so waliokufa walienda waliobaki ndio wamepona.

Kma umemsikia Mama Samia ameeleza hilo kuwa issue sio corona bado ipo au lah issue ni kwamba wave ikirudi inapukuchua ghafla so lazma ujiandae nayo wakati wote.

Kanisani kwetu tu February tumezika seniors wengi sana tena watu muhimu sana. My both parents wameponea ICU so nime prove kwa macho yangu huu ugonjwa ni real
Kama ni wave kama ysemavyo kwa nini i peak kwa jpm? Si mulisema watu walivyo furika kuuaga mwili viwanjani na chato kwamba baada ya wiki mbili tutazika sana? Niambie ni mwezi + sasa mmezika wangapi?

Ninachoweza kusema sipingi kuwa corona haipo ila kifo cha jpm sio corona.hizo ni porojo za watu.
 
  • Thanks
Reactions: RMC
Sorry to say this ila CNN ni was**nge sana.

Wanatumia advantage ya kuwa wako credible kutisha na ku undermine African countries.

Pumbav zao.
Mbona TMA, Media za bongo, kenya, China zilisema au mna bias na wazungu tu na sio TMA?

By the way CNN walisema kikifika nchi kavu kitapungua nguvu mpka below 40 km/ph sasa walimtisha nani?
 
Kama ni wave kama ysemavyo kwa nini i peak kwa jpm? Si mulisema watu walivyo furika kuuaga mwili viwanjani na chato kwamba baada ya wiki mbili tutazika sana? Niambie ni mwezi + sasa mmezika wangapi?

Ninachoweza kusema sipingi kuwa corona haipo ila kifo cha jpm sio corona.hizo ni porojo za watu.
Alieniambia hivyo ni kiongozi wa dini kubwa sana na ni informant wa TISS kwa miaka zaidi ya 10!! Alikuepo kwenye timu iliyoenda mfanyia maombi na wanadai walimuongoza sala ya toba.

So nimechagua kumuamini maana hakua na sababu ya kudanganya.
 
Hivi mimi ni nani hadi nisishuhudie maajabu ya Mungu kwa Nchi yetu!

Kwa sisi tunaosafiri hasa Nchi za wenzetu kwa namna wanavyohangaishwa na Corona na ukiringanisha na namna tunavyoishi hapa kwetu Tanzania hakika mapenzi ya Mungu kwa Nchi yetu ni mema sana.

Hilo la kimbuga Jobo pia kutokuleta athali zozote kama ilivyotarajiwa hakika mkono wa Mungu ni wa kipekee kwa Taifa letu.

Kama Watanzania na pasipo kujali tofauti zetu za kiimani na kisiasa yatupasa sasa tumshukuru mwenyezi Mungu kwa mapenzi mema kwa Nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!

NIKO OFF THE TOPIC:

Unaponena habari njema za ufalme wa Mungu Yehova, nawe unatakiwa kuwa na moyo, dhamira na nafsi iliyo safi..

Jina la mtu huakisi (reflect) na huathiri tabia na matendo ya mtu huyo..

Naamini wewe ni msukuma. Bahati njema mimi nimeishi na wasukuma na naelewa utamaduni wa kisukuma ikiwemo lugha yao...

Jina lako unalotumia hapa "JITOMBA - SHISHO" ambalo umejipa mwenyewe ni ishara kuonesha kuwa huwa unawaza nini na uwazalo ndilo utendalo...

Laiti nikieleza maana ya jina lako la kisukuma ambalo moja kwa moja ni TUSI BAYA kabisa, watu watashangaa sana kiasi cha kushindwa kuelewa umepata wapi audacity ya kunena ya Mungu Yehova...

Ndugu tubu, badili jina lako lisiendelee kuathiri tabia na mwenendo wako. Kujifanya mtakatifu nje huku moyoni ukiwa sivyo, ni angamio lako...

Kama nitakukwaza kwa haya, naomba nitangulie kuomba radhi. Hata hivyo, niliwiwa kusema hili. Nimetimiza wajibu wangu...

Asante..
 
Asante hayati rais Magufuli kwa kutuachia wosia wa kuacha hofu na kumtegemea Mungu kwa kila jambo.

Kimbunga Jobo na Corona wamekiona cha mtema kuni Tanzania.

Ni aibu tupu kwa Chadema.
 
Nachosema Mungu ndio analeta matetemeko na vimbunga duniani hata kwenye nchi zenye dini kutuzidi..... Sasa kama sie tunajisifia tumepona sababu ya Mungu ndio nahoji ina maana kazi ya Mungu (Vimbunga) ina makosa? Kiasi kwamba isipokuja tunamshukuru "kutuepusha"?

Yes wa Tanzania wanaomba lakini pia msumbiji na madagascar huwa wanaomba ila kwao vimbunga ni kila mwaka je ina maana Mungu hawapendi? Au hawana maombi kutuzidi?

Tuache kujifanya tunamjua Mungu sana..... JPM si alikua anamtegemea Mungu!! Mbona amekufa? Ina maana Mungu hakuwa naye? Kama unakiri Mungu katuepusha na kimbunga basi kiri Mungu pia katuondelea JPM!! Maana zote ni kazi za Mungu kwa mujibu wa Quran na Biblia
Mungu hufanya au huruhusu jambo lolote litokee au lisitokee kwa mapenzi yake. Hoja kuwa mbona wenzetu wanasali na kuomba lakini wanapatwa na mabalaa haina uzito kwani sisi binadamu hatuwezi kumchunguza mwenyezi Mungu. Kama. i ni msomaji mzuri wa biblia hususan agano la kale utakuwa umeona kuwa mara nyingi waisraeli walipotangaziwa kupigwa mapigo kwa kumkosea Mungu, walipomlilia na kufanya toba Mungu alighairi kuwatenda mabaya, rejea simulizi ya nabii Yona kwa mfano. Mungu huchunguza mioyo ya wanadamu wanawaza nini, sisi binadamu tunamjaji mtu kwa kumuangalia kwa nje. Mfano baba yake Mfalme Daudi alipoendewa na nabii ili miongoni mwa watoto wake ampake mafuta mmoja wao kuwa mfalme, yule baba alimletea watoto wake sita kati ya saba sababu yule mmoja alimdharau kuwa hawezi kuteuliwa. Lakini nabii aliwakataa wote wale sita na akamuuliza huna mtoto mwingine? Yule mzee ndipo akasema kako kamoja kanachunga kondoo (Daudi). Nabii akaagiza aletwe na alipoletwa alipakwa mafuta na baadae akawa mfalme maarufu wa israel hata leo hii.

Usichunguze njia za Mungu kwa sababu hazichunguziki.

Suala la JPM, hakuna mtu anayebisha, Mungu ndiye aliyemuita kwake .

Angalia hata sasa nchi kama India, Brazil wanapokufa kwa korona licha ya kukumbatia chanjo lakini tazama jinsi Mungu anavyoiponya Tanzania hata hao vibaraka wanashindwa kutoa hata takwimu za uongo za kusingizia Tanzania kuna korona. Sipingi kuwa korona haijawahi kuwepo Tanzania la hasha, ilikuwepo lakini kwa kiasi kidogo sana na madhara yake hayakuwa makubwa hata kulinganisha na majirani zetu, pengine Mungu alitaka kutukumbusha kumtegemea. Watu waliponlilia na kumuomba amejibu ndio maana unaona hata hao wanaoipinga serikali hawavai barakoa, nenda mpirani, masokoni, vituo vya daladala kote huko hakuna anayevaa barakoa wala social distance. Hata leo hii mikutano ya upinzani ikiruhusiwa hakuna atakayevaa wala hivyo vyama havitawahimiza wanachama na mashabiki wao kuvaa barakoa.

Mungu yupo na ataendelea kuilinda Tanzania.
 
Stuka wewe, hiyo stori inaweza kuwa ilikuzwa kutengeneza njia ya kupitisha mzigo ilipobumba ndio zinakuja taarifa kimeyeyuka kwa nguvu za maombi.chezea tani mbili nini ?
Ila kweli asee.... mimi nilokuwa najiuliza hiki kimbunga kunapopita kinapita kwenye visiwa mbalimbal kama ila hatukusikia maafa kwenye kisiwa hata kimoja. Inawezekana hakukuwa na kimbunga.
 
Kama upo Dar naomba nikutembeze kwa watu naojua wanaugua Covid 19 mimi binafsi wazazi wangu wote wawili waliugua, rafiki zangu wa inner circle wawili, majirani zangu immediate waliugua wamama wawili na kijana mmoja!!

Naomba uende pale Aga Khan ER department simama reception afu karopoke hili..... Ukirudi ukiwa hai ww ni kidume.
Are sure ni Corona disease na sio underlying cases,maana siku hizi kila ugonjwa ni Corona.

Kipimo chenyewe kinachotumiwa ni RT-PCR kit,ambayo ina-report false positives.Madaktari wenyewe wame-kuwa conned.Mkuu ni utapeli mtupu unaoendelea.Na mtu kama huna background ya science au your background is shaky in scirnce,ndio rahisi kweli kuwa conned.

Mkuu true science,sio compromized science,inasema kwamba hakuna C-19 disease,kinachosumbua watu ni other diseases from other causes,na kwa kuwa RT-PCR test nayo ina-report false positives, kila anayepelekwa hospitali anaonekana kama ana Corona.And mind you this is design ili kujaribu kuonyesha kwamba the problem is real,kumbe hata sio.

Watu tuamke jamani tutafute taarifa from independent sources,sio compromized sources.
 
Kama ni wave kama ysemavyo kwa nini i peak kwa jpm? Si mulisema watu walivyo furika kuuaga mwili viwanjani na chato kwamba baada ya wiki mbili tutazika sana? Niambie ni mwezi + sasa mmezika wangapi?

Ninachoweza kusema sipingi kuwa corona haipo ila kifo cha jpm sio corona.hizo ni porojo za watu.
Corona haipo mkuu,it's pure scientific misinformation. Asiye mtaalam hawezi ku-appreciate hili kwa kuwa kila kukicha anakuwa bombarded with information that C-19 disease is real.Kumbuka kwamba uongo ukirudiwa mara kwa mara the mind records it as real,na hili ndilo wanalofanya.
Ukifungua TV channel yeyote ni Corona Corona,Corona.Taarifa zingine zinapata very little coverage,ni kama hazipo vile.
 
Halafu either kuna tatizo katika vyombo vya habari au katika system za kutabiri(forecasting) majanga duniani.Nakumbuka CNN iliripoti kuwa Tanzania itapatwa na kimbunga ambacho haijawahi kukipata tangia miaka 80 iliyopita.Sasa najiuliza,ina maana vituo vya kufanya forecasting ya hali ya hewa vilishindwa kujua kuwa hicho kimbunga hakitafika Tanzania?

Ni sahihi kuwa wanasayansi wa kufanya utabiri wa hali ya hewa hawana uwezo wa kujua kwamba kutokana na sababu fulani fulani kimbunga fulani hakiwezi kufika sehemu fulani?Au CNN ndiyo wana tatizo katika kuripoti taarifa zao?

ili uweze kufanya this deep analyis ni lazima uwe na satelite! kibaya zaidi watu wanachowaza bongo ni nafasi za kazi tu
 
Are sure ni Corona disease na sio underlying cases maana mkuu,maana siku hizi kila ugonjwa ni Corona.

Kipimo chenyewe kinachotumiwa ni RT-PCR kit,ambayo ina-report false positives.Madaktari wenyewe wame-kuwa conned.Mkuu ni utapeli mtupu unaoendelea.Na mtu kama huna background ya science au your background is shaky ndio rahisi kweli kuwa conned.

Mkuu true science,sio compromized science inasema kwamba hakuna C-19 disease,kinachosumbua watu ni other diseases from other causes,na kwa kuwa RT-PCR test nayo ina-report false positives, kila anayepelekwa hospitali anaonekana kama ana Corona.And mind you this is design ili kujaribu kuonyesha kwamba the problem is real,kumbe hata sio.

Watu tuamke jamani tutafute taarifa from independent sources,sio compromized sources.

ukweli ni kwamba hospitali zote nlizobahatika kutembelea dar hawana tatizo la wagonjwa wa corona! hio ni 100%
 
Back
Top Bottom