Kwa hali hii naweza kusoma MD Muhimbili..?

Hivi sikuhizi medicine wanachukuwa CBA .. enzi zetu ilikuwa ni PCB Tu!
 
Nilisoma cbg nikapata 9 points na ninasoma medicine kwa ufadhili wa serikali nje ya bongo,if u want medicine that bad ni-pm nikueleze inakuwaje!
 
Muhimbili kozi zote kasoro environmental science degree wanachukua only PCB.
Kuna dogo ana pts 11, amepata B ya biology na D ya chemistry, anaitaka md sana, vp muhimbili au udom atapata?
 
Hapana. Pharmacy, BMLS, MD, Radiotherapy hizo ndo strictly PCB lakini course kama Bachelor of Nursing pamoja na hiyo Environmental utaula mkuu. We jitose kwa hizo mbili kama MD is not your emphasis.
 
Kuna dogo ana pts 11, amepata B ya biology na D ya chemistry, anaitaka md sana, vp muhimbili au udom atapata?

anaweza akapata, maana hapo ana point 6 bt inategemea cuz cut off ya jamaa uwa 7 hadi 9
 
Akhsanten wakuu wote kwa opinion zent...
Elim ya bongo bhana..it hurts xo much mtu una dream ya kusoma kitu flan badly bt due to som restrctn unashndwa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom