crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,410
- 3,376
Timu zote kubwa zinamilikiwa na wawekezaji kwa hiyo uwekezaji wao lazima uangalie faida na hasara tofauti na madrid na barcelona. Madrid,barca na wakubwa wengine ulaya wakiona mchezaji bora wanamwaga pesa fasta bila kujiuliza lakini epl nyingi zinachukua average players.
Hii ligi timu yako ikikutana na timu yoyote kubwa ulaya katika michuano ya uefa ni presha tupu kipigo njenje.
lakini nashangaa pamoja na yote ndo ligi inayolipa zaidi na yenye mapato makubwa zaidi duniani na maarufu zaidi duniani. Inasemekana hata wa qatar wa psg wanataka kuja kuwekeza spurs.
yaani leo mechi ya liver na man u inaonekana big match wakati liver wanasuasua huko. Yaani epl wana mechi yenye attraction duniani karibu kila weekend tofauti na wenzao.
kwa uelewa wangu mdogo wa mpira nilikuwa najua man u ya 2022 kushuka chini hata wafanye nini hawawezi mpiga barca wala madrid lakini sikuwahi acha shabikia.
hakika waingereza wanapaswa kuwajengea minara waasisi wao na mababu zao,hakika walijua kuikamata dunia.