Kwa Dar hii ni kituko ila kwa Arusha hii ni zaidi ya fashion

Duuuuuuuu hii swaga za kishamba sana mikoti yaajabuajabu tu hiyo graduuu et hahahahahaha ndio maana tutaendelea kuwala mademu zenu tu nyie wanaume wa mikoan
 
Jaribuni kutofautisha halo ya hewa katika mazingira au mikoa, koz dar joto arusha baridi makoti na mizura vinahusika
 
Duuuuuuuu hii swaga za kishamba sana mikoti yaajabuajabu tu hiyo graduuu et hahahahahaha ndio maana tutaendelea kuwala mademu zenu tu nyie wanaume wa mikoan
Kweli wewe ni jinga plus.... una-reflect ujinga mwingi unaozunguka community unayoishi. Sasa huoni hao ni vijana wadogo kabisa......miaka 16, 15, 14? Unaongelea mademu kwani wamekwambia wao wanawaza mademu? Hao vijana wapo katika wakati wao kutafuta identify inayowafaa......ni mambo ya vijana walio huru haya wewe ulizoea kukaa kibarazani huwezi elewa.....kingine huko unapoishi bila shaka huwa hupati nafasi ya ku-socualize na jamii toka nchi nyingine sivyo? Kwahiyo unadhani ulofa uliopo mtaani kwako ndiyo inavyopaswa kuwa.....fungua macho mkuu......hii dunia is about being really with yourself.....kutafuta identify inayoendana na wewe.......Don't give a f**k bout what people (people like you) say.
 
Hizo ni bangi mkuu huwez kwenda kwenye graduu na mivaz hiyo maana hata dress cord za sehemu hawaelew inaonyesha njinsigan mlivyo mamburura ww pa1 na hao under20 unao watetea
Vijana weng wa AR wanao vaa hivo ni bang,viroba na kaz zao ni kule machimbon na hapo hawakos mabeto,,na masime acha kutetea upuuz ushaona wap graduation watu wanavaa hivo?
 
Kweli wewe ni jinga plus.... una-reflect ujinga mwingi unaozunguka community unayoishi. Sasa huoni hao ni vijana wadogo kabisa......miaka 16, 15, 14? Unaongelea mademu kwani wamekwambia wao wanawaza mademu? Hao vijana wapo katika wakati wao kutafuta identify inayowafaa......ni mambo ya vijana walio huru haya wewe ulizoea kukaa kibarazani huwezi elewa.....kingine huko unapoishi bila shaka huwa hupati nafasi ya ku-socualize na jamii toka nchi nyingine sivyo? Kwahiyo unadhani ulofa uliopo mtaani kwako ndiyo inavyopaswa kuwa.....fungua macho mkuu......hii dunia is about being really with yourself.....kutafuta identify inayoendana na wewe.......Don't give a f**k bout what people (people like you) say.
Hata ww utakuwa cha Arusha unapiga
 
Bora umekuja mwakilishi wao........Nimetembea mikoa mingi ya baridi (Mbeya,Iringa,Rukwa..etc) na sio washamba kama hao jamaa.....Na nimesoma chuo ambacho kina machilii wengi hapa mjini (tafuta mwenyewe utakijua)....eti identity yao......mshamba mshamba tu....na mi kama mpori pori ndo niko hivyo............unaweza ukapata elimu lakini usiwe na maarifa......Mfn: Profesa wako..........sasa kwani ni civilized hao?.........Huwa nawachora tu........basi nasikitikia itikadi zao za kishamba..........
Na najua mlikuwa mnajaribu kukopi watu fulani wa western...........
Hao WASHAMBA wewe wa wapi? Pole sana
 
Safi sana... Kwa hii fahion statement mie nimewa- deifine kama watu ambao hawaendeshwi kiholela ama kuburuzwa buruzwa... Kwa maono yangu, hii fasion sense yao inatupa ujumbe kwamba hawa ni watu wanaoweza kujiamulia mambo yao wenyewe wanayoyaona yana heri na yanayofaa... Inaonyesha hawafanyi mambo kwenye maisha yao kwasababu tu eti nani kasema au kwasababu flani anafanya... Nawaona kama sio watu wa kufuata mkumbo wala kuigaiga mambo.
Kwanza kwa ile hali ya hewa ya kule ni lazima mtu uvae hizo nguo za baridi, ila machalii wametupia pia hapo statement ya personality yao.
na wako against sana na watu wanao act uzungu
 
Aisee mapigo ya sistaaa nimekubali ile laana na hizo dreadlocks hapo kichwani ni kwere ningekua Chuga ningempeleka kwa fasi ya morombo nikamlishe nyama

Babaetu hizi picha unazitoa wapi ?
Ninjaa si unajua Chugga ni yechu yechu hawa wapo watengwaa wanatema punchlines kama Tupac Shakur
124E.jpg

Kitu nawakubali machalii wa Arusha. Ni usafi wapo smart sana na wanajipenda kupita maelezo kwa styles zao
FB_IMG_1476449529148.jpg
FB_IMG_1476449511281.jpg
 
Back
Top Bottom