HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,911
- 6,591
acha upumbavu wewe ******** me mwenyew nimekulia arusha na nilijaribu kuukwepa huo ujinga wa kuvaa hivyo,bahati mbaya wadogo zangu 2 wameingia kwenye ujinga huo wanavaa hivyo hivyo.Na wapo hapo matejoo wameondoka nyumbani na shule wameacha wanaongozana na hao matahira wanao vaa ujinga wakidhani ni sifa.
Sasa wamekuwa watumiaji wazuri wa bangi na madawa ya kulevya nabaki kuwaonea huruma tu cz tumejaribu kuwapeleka sober house lakin wanatoroka.
Msipende kushabikia ujinga ujinga tu usio na faida
Mapovu ya nini.... Ujinga wa wadogo zako upo kwenye akili zao sio mavazi..... Wewe na ujanja wako umeshindwa nini kuwa badilisha unakuja kulia na kambale wa Jf. Tangu lini mavazi yakabadili tabia ya mtu? Waache watu waishi wapendavyo.