Kwa dalili hizi, Mnyika kapoteza jimbo la Ubungo

Status
Not open for further replies.
Nna kadi ya kupiga kura hapa arusha mjini na pia nna kadi ya dar wakimtoa 2nairudisha cdm kwani pia nimejiandikisha kituo cha SHULE YA MSINGI MUGABE SINZA.
 
Mtoa mada anawezakuwa na yake! Lakini kimsingi kesi ya Mnyika haijakaa vizuri. Inahitaji hekima za jaji katika kuamua kama kuna authority za kutosha in favour of Mnyika. Tusisahau pamoja na wingi wa kura Lema alipigwa chini. Sasa mpaka mkurugenzi wa uchaguzi alijikanyaga what do we expect? Upande wa Mnyika utakuwa umefanya mistake kama Kiravu hakuitwa mahakamani. Ushahidi wake ungeweza kurepair damages on Mnyika's side

Super explanations! Mi wandugu nikifikiria vile tunavyominywa hadi roho inataka kung'oka
 
Mtoa mada anawezakuwa na yake! Lakini kimsingi kesi ya Mnyika haijakaa vizuri. Inahitaji hekima za jaji katika kuamua kama kuna authority za kutosha in favour of Mnyika. Tusisahau pamoja na wingi wa kura Lema alipigwa chini. Sasa mpaka mkurugenzi wa uchaguzi alijikanyaga what do we expect? Upande wa Mnyika utakuwa umefanya mistake kama Kiravu hakuitwa mahakamani. Ushahidi wake ungeweza kurepair damages on Mnyika's side
tatizo siyo uwingi wa kura bali hoja iliyoko mbele mlalamikaji anadai kura 14,000. kuwa hazipo ambazo hata akiwa hazimpi ushindi. Lema hoja iliyo mtoa ni lugha aliyo kuwa akitumia kipindi cha kampeni ambayo kwa historia iliwahi kumtoa mbunge mwingine huko Shinyanga (sikumbuki jina lake)
 
Mnyika na Mahanga wote watavuliwa ubunge.

Mahanga anaweza asiruhusiwe kugombea tena wakati Mnyika atagombea tena na kushinda.
 
Kumbe kunnguru mweupe a.k.a mweusi huna jupya karibu bia ndo namalizia za jana
 
tatizo siyo uwingi wa kura bali hoja iliyoko mbele mlalamikaji anadai kura 14,000. kuwa hazipo ambazo hata akiwa hazimpi ushindi. Lema hoja iliyo mtoa ni lugha aliyo kuwa akitumia kipindi cha kampeni ambayo kwa historia iliwahi kumtoa mbunge mwingine huko Shinyanga (sikumbuki jina lake)
Kwanini hazipo kura 14 elf?
J
 
Hahaha! Kisomo kinasomewa kwenye ofisi ya chama? Mabigi!

Sijui bongo zingine zikoje? Yaani Ofisi za CCM kusafishwa ndio Mnyika kuvuliwa ubunge? Pengine kuna kisomo kitasomwa hapo muda si mrefu; na hili nalo umewahi kujiuliza?
 
Ofisi zulifungwa kisa Mnyika Mbunge? Ubungo ya CHADEMA Na segerea ni ya CHADEMA.
 
Kila ninapopita ktk Ofisi za CCM Ubungo siku 2 hizi, nahisi kuna jambo kubwa linaweza kutokea Jimboni hapo.
Furaha na maandalizi ya hapa na pale yanaandaliwa.
Ofisi zinaonekana kama zinasafishwa safishwa, matawi vile kama yanaanza kufufuliwa, hamasa za chama zinaanza kuonekana ambapo kwa kipindi kirefu kiltoweka.
kwa haraka haraka unaweza ukahisi kuna harakati kubwa za kisiasa zinaweza kutokea kipindi kifupi baadae

JEE HICHI NDICHO KITACHMUANGUSHA MNYIKA KTK KESI YAKE:
kukiri kwa Mnyika Mahakamani tofauti ya kura zaidi ya 14,000 inayoonekana katika fomu iliwasilishwa mahamani
Kutumika komputa yake kuhesabiwa kura

kukerwa kwa Jaji Msuya jinsi Mnyikai alivyokuwa akijibu maswali mbalimbali ya Wakili wa mlalamikaji, Issa Maige,
Mkuu Kunguru Mweusi hivi sasa CCM wapo kwenye mchakato wa kuchaguana. Jana nimerudi nyumbani maeneo fulani nikakuta wanafanya mkutano sehemu ambayo huwa napata juice iliyotiwa chachu kabla sijaenda home. Baadaye ndio nikajua kwamba walikuwa wanachaguani kwenye matawi. Huo ndizo shamrashamra hizo.
 
Nna kadi ya kupiga kura hapa arusha mjini na pia nna kadi ya dar wakimtoa 2nairudisha cdm kwani pia nimejiandikisha kituo cha SHULE YA MSINGI MUGABE SINZA.

Mkuu DALLAI Lama wewe si mtetezi wa demokrasia na haki za binadamu sasa mbona unavunja sheria ya uchaguzi?
 
Kila ninapopita ktk Ofisi za CCM Ubungo siku 2 hizi, nahisi kuna jambo kubwa linaweza kutokea Jimboni hapo.
Furaha na maandalizi ya hapa na pale yanaandaliwa.
Ofisi zinaonekana kama zinasafishwa safishwa, matawi vile kama yanaanza kufufuliwa, hamasa za chama zinaanza kuonekana ambapo kwa kipindi kirefu kiltoweka.
kwa haraka haraka unaweza ukahisi kuna harakati kubwa za kisiasa zinaweza kutokea kipindi kifupi baadae

JEE HICHI NDICHO KITACHMUANGUSHA MNYIKA KTK KESI YAKE:
kukiri kwa Mnyika Mahakamani tofauti ya kura zaidi ya 14,000 inayoonekana katika fomu iliwasilishwa mahamani
Kutumika komputa yake kuhesabiwa kura

kukerwa kwa Jaji Msuya jinsi Mnyikai alivyokuwa akijibu maswali mbalimbali ya Wakili wa mlalamikaji, Issa Maige,
Mkuu Kunguru Mweusi una ushahidi gani kuwa kufanya usafi ofisi za maghamba ni kumwondolea ubunge Mhe Nyika????
Kuna jambo unatafuta wewe ngojea wakati wake!!!!!

Wadau, mbona mmemshukia Kunguru mweusi kama mwewe ashukiavyo kifaranga? Ameelezea hisia zake tu.
 
kama ulifuatilia japo kidogo hii kesi, hoja za kura 14000 ni kura za wagombea wengine kama CUF. So, hazikutangazwa na msimamizi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom