Kwa chokambaya wenzangu (vodafone 553)

Asante ila usikiri kushidwa kujiita choka mbaya na utakuwa choka mbaya kweli ,maana unajitamkia mabaya.
 
Asante ila usikiri kushidwa kujiita choka mbaya na utakuwa choka mbaya kweli ,maana unajitamkia mabaya.
Asante Jocelyn.. sijashindwa... najiita chokambaya kwasababu nakamuliwa na maisha siku hadi siku... hayanipi nafasi nipumue..
 
Mkuu usijidharau,chokambaya kwa sababu unatumia vodafone 553? au kuna sababu nyingine yanayokufanya ujisikie inferior? Usiwe hivyo Mkuu
hadi kusaka namna ya kuchakachua simu... si sababu ya u-chokambaya wajameni au...
 
Bt kilicho nishangaza ckuhitaji setting za internet ktk line ya tigo, zilezile za voda na tigo zika access, so wat z this?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom