Kwa CCM Mps, VOTe of No Confidence ni Mkwara tU!

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Wabunge wa CCM msiposaini atapingwa na nguvu ya umma. Kumbukeni hili ni shinikizo tu ili serikali iwawajibishe mawaziri, plz saini kuokoa taifa. Tutakuuliza baadae 2015 kwamba hukuunga mkono vita dhidi ya ufisadi
 
Back
Top Bottom